Lrc Player

Angelike Twist

John Nzenze
[03:19.31]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:00.05] (Instrumental)

[00:11.70] Oo oo oh ninalia Angelike

[00:16.46] Angelike rudi tuonane

[00:19.70] Roho yangu inanisumbua eeeh

[00:23.45] Oo oo oh ninalia Angelike

[00:28.46] Angelike rudi tuonane

[00:31.45] Roho yangu inanisumbua eeeh

[00:35.21] (Interlude)

[00:46.46] Sikujua kama si tutawachana

[00:51.45] Kwa mapenzi yetu ya kwanza

[00:54.45] Tulipokuwa tukicheza twisti

[00:58.21] Sikujua kama si tutawachana

[01:03.20] Kwa mapenzi yetu ya kwanza

[01:05.95] Tulipokuwa tukicheza twisti

[01:10.21] (Interlude)

[01:21.45] Ni vizuri unirudie Angelike

[01:26.45] Makosa tuliyokosana

[01:29.20] Hayo ni makosa ya nyumbani

[01:33.20] Ni vizuri unirudie Angelike

[01:37.95] Makosa tuliyokosana

[01:40.97] Hayo ni makosa ya nyumbani

[01:45.20] (Interlude)

[01:55.97] Oo oo oh ninalia Angelike

[02:01.46] Angelike rudi tuonane

[02:04.46] Roho yangu inanisumbua eeeh

[02:08.47] Oo oo oh ninalia Angelike

[02:12.95] Angelike rudi tuonane

[02:16.21] Roho yangu inanisumbua eeeh

[02:20.45] (Interlude)

[02:31.20] Sikujua kama si tutawachana

[02:36.45] Kwa mapenzi yetu ya kwanza

[02:39.45] Tulipokuwa tukicheza twisti

[02:43.45] Sikujua kama si tutawachana

[02:48.22] Kwa mapenzi yetu ya kwanza

[02:51.20] Tulipokuwa tukicheza twisti

[02:55.22] (Instrumental)