Nyumba ndogo
[00:02.32] (DJ Kidogo Dogo)
[00:05.57] Ooh! Ooh!
[00:07.07] Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
[00:10.83] Yamenifika kwa koo!
[00:12.83] We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
[00:16.59] Sema Ooh! Ooh!
[00:18.61] Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
[00:21.88] Yamenifika kwa koo!
[00:24.07] We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
[00:27.80] Bwana ako analalamika
[00:30.83] Kila akija nyumbani
[00:33.58] Eti hujui kupika
[00:36.07] Kula kwako hatamani
[00:39.06] Kwangu kalipenda tembele
[00:42.06] Toto laini laini
[00:44.57] Shoga umenyimwa upole
[00:47.82] Tajiri wa kisirani
[00:51.06] Na samahani, samahani mwanzoni
[00:53.81] Sikujitambulisha mimi nani?
[00:56.33] Mie ndo Mke Mwenzio a.k.a Nyumba Ndogo
[01:01.37] Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
[01:05.32] Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:07.57] Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[01:10.57] Aah! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:13.34] Mke mwenza ukinichukia, wanionea bure
[01:16.31] Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:19.05] Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[01:22.09] Ooh! Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
[01:30.57] Mke mwenza unanifaa
[01:33.10] Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
[01:36.32] Kwako bwana anakaa
[01:38.57] Mambo kusaidiana wala usihuzunike
[01:44.34] Siku izi kushare mabwana ndo fashion kwa wanawake
[01:49.82] Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
[01:52.32] Sina ubaya, sina ubaya nawe
[01:56.08] Aaah! Ukinichukia, wanionea bure
[01:58.81] Sina ubaya, sina ubaya nawe
[02:01.56] Mke mwenza ukinichukiaa, wanionea bure
[02:04.32] Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
[02:07.06] Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
[02:09.82] Twendee nache, nache, nache, nache, nache
[02:13.09] Huu mchezo wa kichina, zungusha kiuno cheko
[02:15.85] We kichina zungusha kiuno cheko
[02:18.05] Kama shepu huna, pambana na hali yako
[02:21.10] Kama huna pambana na hali yako
[02:23.60] Nasema Masha zungusha, we zungusha
[02:26.55] Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
[02:29.57] Khadija Kopa zungusha, we zungusha
[02:32.32] Mama Dangote zungusha, we zungusha
[02:35.35] Mama aah! Aah! Aah!
[02:40.34] Aaa! Aaa! Aaa!
[02:42.05] We kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
[02:44.33] Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
[02:47.36] Na kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
[02:50.07] Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
[02:52.82] Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:55.33] Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:58.10] Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:00.57] Kushoto changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:03.32] Mamaaa haaaa
[03:06.82] Twendee nache, nache, nache, nache
[03:08.83] Nacheza, eh!
[03:12.58] Nasema aii mama, aii mama
[03:14.31] Aii mama, aii mama wee!
[03:20.09] Andaa besee
[03:25.82] Andaa bese
[03:27.06] Andaa bese
[03:28.57] Andaa bese
[03:29.82] Twende!
[03:33.08] Mama, andaa bese
[03:37.07] Andaa besee
[03:38.34] Andaa besee
[03:39.81] Andaa besee
[03:41.07] Twende!
[03:44.33] Utajijua mwenyewe
[03:47.34] Utajijua mwenyewe
[03:49.85] Utajijua mwenyewe
[03:52.86] Utajijua mwenyewe
[03:55.82] (Kamix Lizer)
