Lrc Player

Nimekuzoea

Nandy
[02:44.23]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:01.61] Nimekuzoea Lyrics – Nandy

[00:05.11] (Kimambo on the beats)

[00:09.14] Aiyayayaya aiyayayaya

[00:11.37] Aiyayayaya aiyayayaya

[00:15.85] Niko tu mi baby

[00:18.10] Kama maji kwa mtungi

[00:20.36] Nyonga buli baby

[00:22.35] Nivute niiishi nibaki kishungi

[00:24.86] Aii zuri baby

[00:26.86] Nibandike nigande ka gundi

[00:32.87] Maakuli nilishe nishibe

[00:33.61] Kitumbo ndindi

[00:35.64] Unanikoleza, unanichombeza

[00:39.90] Unanilegeza ai wee

[00:43.35] Ukianzaga ndani unayaweza kitandani

[00:47.62] Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee

[00:52.37] Nakupenda, nakuwaza

[00:54.88] Bora my oh, my boo boo

[00:57.37] We nipende nikupende we

[01:01.61] Nimekuzoea, nimekuzoea

[01:06.63] Nimekuzoea nime nime nime

[01:11.87] Nimekuzoea, nimekuzoea

[01:15.35] Nimekuzoea nime nime nime

[01:18.11] Nimekuzoea

[01:27.88] Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea

[01:33.13] Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena

[01:37.61] Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea

[01:42.16] Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena

[01:46.36] Nipo katikati nazungukwa na upendo

[01:49.88] Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo

[01:54.42] Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff

[01:58.88] Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo

[02:04.38] Nakupenda, nakuwaza

[02:07.09] Bora my oh, my boo boo

[02:09.38] We nipende nikupende we

[02:13.86] Nimekuzoea, nimekuzoea

[02:18.36] Nimekuzoea nime nime nime

[02:23.11] Nimekuzoea, nimekuzoea

[02:27.36] Nimekuzoea nime nime nime

[02:31.87] Nimekuzoea