Lrc Player

Kubali

Lody Music
[03:40.06]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:03.93] Lody Music - Kubali

[00:08.92] Unalewa nini wakati mwenzako ameshakuacha

[00:16.45] Yaani hakutaki tena

[00:20.18] Unampigia nini, akiona namba yako tu anakata

[00:26.68] Huyo sio wako tena

[00:30.68] Hata usiwaze kulipiza kisasi

[00:34.17] Kwa vijembe vingi huko status

[00:36.67] Kwenye moyo wake huna nafasi, easy

[00:40.44] Tena usiwaze kujipiga risasi

[00:44.42] Usijinyonge usijigasi

[00:47.17] Kwenye moyo wake huna nafasi, easy

[00:50.92] Usilazimishe, utazeeka vibaya

[00:55.67] Asikulazimishe, no no noo

[01:00.41] Unaenda mishe mishe

[01:02.92] Ndani analeta Malaya

[01:05.93] Asikubabaishee eeeh

[01:11.68] Amekuacha wee (umeachwa)

[01:14.18] Kubali (kubali)

[01:16.67] Utampata wako mtapendana kwa dhati

[01:22.17] Amekuacha wee (umeachwa)

[01:24.66] Kubali (kubali)

[01:27.18] Aah, mapenzi yanauma eh

[01:53.68] Unaempenda kampenda mwingine

[01:57.20] Huyo mwingine naye ana mwingine

[01:59.43] Mwingine naye kapendwa na mwingine

[02:02.21] Moyo sukuma damu sio mashine

[02:04.92] Yana kuumiza na pengine

[02:07.42] Hauna budi kumpenda mwingine

[02:09.94] Mapenzi joto joto usipime

[02:12.42] Moyo sukuma damu sio mashine

[02:15.42] Penzi kiza kinene, kiroho mbaya

[02:18.18] Yanatesa tena vibaya

[02:20.68] Ukitendwa una-retire ah!

[02:25.94] Labda hufiki kina mapenzini

[02:28.67] Ndio maana unaachwa matatani

[02:31.19] Hufiki kina mapenzini, mapenzi mapenzi

[02:35.67] Usilazimishe, utazeeka vibaya

[02:40.17] Asikulazimishe, no no noo

[02:44.67] Unaenda mishe mishe

[02:48.41] Ndani analeta Malaya

[02:50.68] Asikubabaishee eeeh

[02:55.17] Amekuacha wee (umeachwa)

[02:58.67] Kubali (kubali)

[03:01.17] Utampata wako mtapendana kwa dhati

[03:05.93] Amekuacha wee (umeachwa)

[03:09.19] Kubali (kubali)

[03:12.44] Aah, mapenzi yanauma eh