Pombe a
[00:12.30] Oh-ooh, pombe sigara
[00:16.80] Naweza wacha bila kung'ang'ana
[00:21.55] Lakini, hawa wasichana
[00:25.80] Vile nawapenda, ni kama laana
[00:32.05] Ooh, Sol Generation
[00:38.05] I'm tha storyteller, aye, aye, aye
[00:43.55] Ooh lawd
[00:44.30] Naskia walevi huota na beer
[00:49.55] Lakini kuna siri nitawaibia leo
[00:54.55] See I'm not addicted to alcohol
[00:57.80] I'm not a victim, not at all
[01:00.55] Yalimpata Samson, yakampata Solomon
[01:05.80] Situation hugeuka tricky
[01:08.55] Kila shimo napanda miti
[01:11.30] Contribution kwa team mafisi, Karura
[01:16.05] Eeh, hii situation hugeuka tricky
[01:18.55] Kwa hivyo...
[01:22.05] Msiniweke kamba kwa shingo
[01:26.55] Pombe sigara
[01:30.30] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[01:35.55] Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
[01:42.55] Ni kama laana, ah
[01:58.30] Someone please call 911
[02:02.55] Tell them the storyteller has gone down
[02:08.30] Ati alivunja shingo akalemewa
[02:11.55] Akatoa fimbo nje ya ndoa
[02:14.30] Na hivyo ndivyo alijichomea
[02:18.81] Ehh hii situation imekuwa tricky
[02:25.05] Kuna shimo alipanda miti
[02:25.80] Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
[02:29.55] Eeh hii situation hugeuka tricky
[02:32.30] Kwa hivyo...
[02:35.80] Msiniweke kamba kwa shingo
[02:40.55] Pombe sigara, ah
[02:44.80] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[02:50.05] Lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
[02:56.05] Ni kama laana, ah
[03:00.30] Ooh yeah, yeah
[03:01.80] Pombe sigara, ah
[03:05.80] Naweza wacha bila kung'ang'ana, ah
[03:10.55] Lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda
[03:14.55] Ni kama laana, ah
[03:21.55] (Ooh yeah, yeah, yeah, yeah)
[03:24.30] Ladwick Ateya made it
