Morio anzeza
[00:14.02] Yeah, reputation ni same, gang ingemblain, ningekuja na ndeng'a
[00:17.77] I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
[00:21.32] Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
[00:25.27] Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
[00:29.02] Reputation ni same, gang ingemblain, ningekuja na ndeng'a
[00:32.77] I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
[00:36.03] Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
[00:40.02] Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
[00:43.78] Mi huzoza mamzinga
[00:45.52] Zile kali kali kama machozi za simba
[00:47.77] Mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi?
[00:51.52] Mi huwanga na dinga
[00:53.29] Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
[00:55.02] Huezi nitishia life, mi nilikuwa nadu street na patipati nyi mkivishwa nappy
[00:58.80] Mi ni Rong Rende boy, machachari
[01:00.27] Say it to my face, una-beef kina nani?
[01:02.80] Oh my gosh, samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
[01:06.06] Hizi side, miracle hazifanyikagi
[01:07.77] Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
[01:10.02] Rap game haitaki chali
[01:11.52] Na usishangae mbona, juu ni mi nimei-marry
[01:14.03] Lay down flat, stay on your lane, in case haujajua utapepetwa
[01:17.27] Serial killers, hatu-fightingi terror, in short, tume-upgrade weapon
[01:21.04] Fake-ass niggas, back-biting haters, kazi ni ku-update status
[01:24.53] Wivu juu ni si paper chasers, kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre
[01:28.27] Mi sichezi wazeiya, mi ukini-cross utagenya
[01:30.05] Kuna dem anashinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja
[01:36.03] Fine gyal lakini huwezi sema, pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya
[01:39.53] Mayengs hunipenda, shori ndeng'a anataka kuchukua selfie tena
[01:43.28] Sisi zetu ni hustle, acha tukuwachie we king castle
[01:46.78] Managerr alirudishwa home juu promoter alidai ku-meet doshi in person
[01:50.78] Niko kuber na mandom, eh, pale Instagram, I wrote this caption
[01:54.03] Munga, mi hutembea na ma-chrome
[01:56.54] Ata nisipo-act utavuliwa na Kovu vihasho
[01:58.33] Siendi, siendi, waambie watafute plan B
[02:01.53] Ndio nikuje watume kwa paybill, nyi ma-promoter siwapendi
[02:03.77] Shughuli kubwa huku spending, hakuna kitu fupi kaa wikendi
[02:09.52] Ongea bas, what you can't be, appearance, 10 Gs
[02:12.77] Nikizoza hawapendi, hii ni ya Gikomba na ni Fendi
[02:16.30] Huku ni kubaya, nimeona mengi
[02:18.03] Mpaka manugu malaya, washenzi
[02:20.02] I never knew they will play me
[02:22.02] Namaanisha kwa radio na telly, ay
[02:24.02] Revenue looking crazy, nitakodesha ka-Benzo na Bentley
[02:25.77] You talk much, hautendi, youth fund iko pending
[02:31.56] You fuck niggas just can't be serious, bullshit's trending (Ay)
[02:35.03] These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family, uh
[02:39.03] These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family
[02:42.52] Nakuwanga roho, on the low but naeza burn na boy
[02:47.57] Kidogo nikang'e mbang'a, woi
[02:48.27] Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy
[02:56.29] Obe babe (Yeah)
[02:59.03] Obe babe si kidogo ni (Mmh)
[03:00.55] Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali, mi mkali niko ndani
[03:04.03] Ndani Kamali nafika bei, bila chali, nafika bei till Diani
[03:07.78] Mtoto fulani, bei kali, lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
[03:10.79] How many times I'ma tell you this? I need a nigga like Kanyari
[03:14.78] He making that money, he making a mummy go low ka chasing da culo
[03:18.78] Feeling da lingo, feeling da brew, huh
[03:21.02] The brewery, Bella Rosa
[03:23.05] Cheki manzi bila ring, jegi fiti bila fake, wanadai kuni-feel
[03:26.02] Obe baba hii ni real, obe baba hii na-kill, aki ya nani na-kill
[03:29.77] If ulionanga kwa misitu, panda miti bila kitu, ay
[03:33.28] Listen, ati ma-slay ndio ni wale wa obe baba, bado mimi ndio ule washika hiyo ladha
[03:37.54] Taste fiti kama lager, haga seti kama ladha, fika hiyo bei
[03:41.27] Reputation ni same, gang ingemblain, ningekuja na ndeng'a
[03:44.55] I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
[03:48.02] Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
[03:52.02] Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
[03:55.53] Reputation ni same, gang ingemblain, ningekuja na ndeng'a
[03:59.27] I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
[04:02.77] Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
[04:06.52] Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
