Lrc Player

My miss

Wakali Wao
[03:57.40]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:00.51] Ladwick Edited Lyrics

[00:09.77] Intro: Kim Swat]

[00:17.75] Yo prr kang kang ha!

[00:19.26] Another one fi di ladies

[00:22.01] Ha ha ha hear dis

[00:22.75] Wakali wao yao yao

[00:24.75] Ati kwako nimechizi

[00:26.00] Ka msee amepiga ngwai

[00:27.25] Mi nafeel tu connected kama wifi

[00:29.75] Ninataka nikutunze kama rungu ya masai

[00:32.25] Nitembee tu na wewe

[00:33.50] Yani side mpaka side yo

[00:34.76] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[00:37.30] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[00:39.75] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[00:41.75] Gal am your mr you are my miss

[00:44.26] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[00:47.00] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[00:49.00] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[00:51.50] Gal am your mr you are my miss

[00:54.02] My lady kata waba mi najua nakubamba

[00:56.52] Na later ruka kamba cos kwa bed katatamba

[00:59.01] Cheki nina kadem kasupu kamkamba

[01:01.25] Kanini amekam tu home tu na mi nakaskiza

[01:04.26] My lady tu niamini speed ni ya gari

[01:07.27] Kwanza tuseme Ferrari Sina hata fare

[01:09.76] Nina doh ya makali mazigizaga zogo

[01:12.25] Tunamwaga tu bahari na uwache tu maringo

[01:14.77] My lady niko single nimekam hapa

[01:17.01] Mi nadai tu tumingle later in the party

[01:19.50] Mi nadai tu ujiggle sitakua idle

[01:22.01] Nitakua tu kajingjong so kuna ways

[01:24.01] Nitakupea mamunju lakini morning area

[01:26.75] Nitakupea marungu after that then

[01:29.25] Utaniita mbuyu Alafu lady rudi kwenu kikuyu

[01:31.50] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[01:35.51] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[01:37.51] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[01:40.00] Gal am your mr you are my miss

[01:42.51] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[01:45.02] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[01:47.77] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[01:49.50] Gal am your mr you are my miss

[01:52.50] Ni msupa bila makeup hajajipodoa

[01:54.50] Napenda hiyo nguo yake ya madoadoa

[01:56.52] Kwako nimechizi nafeel tu vipoa

[01:59.50] Leo tu kejani ni lazima utatoa

[02:01.76] Kama tu mahindi lazima kumdondoa

[02:04.51] Nataka nikutunze kama maasai na fimbo

[02:07.00] Nataka nikusuke nikuandikie wimbo

[02:09.00] My lady kwangu kukupenda ikue ka mtindo

[02:12.01] Napenda hiyo lips na mahips hiyo umbo

[02:15.00] Napenda ukikatika tingiza kiuno ukidunda

[02:17.76] Na mdundo Kwela ka ya Vera na Huddah

[02:21.01] Inavutia fisi karibia videvu adisia

[02:23.27] Msupa my miss nikuvalishe maring

[02:25.76] Kadaily tu pamoja along tukising

[02:28.26] Tuko tu vacation kwa boat kwenye sea

[02:31.01] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[02:33.51] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[02:36.00] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[02:38.25] Gal am your mr you are my miss

[02:40.76] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[02:43.25] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[02:45.76] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[02:47.75] Gal am your mr you are my miss

[02:50.51] Napenda ukinitease my miss

[02:52.50] Na bado Kuna vile hiyo lips nitakiss

[02:54.02] Mahater come wrong pia hao nawadiss

[02:57.26] Piga ata picha na useme ata cheese

[03:00.01] Utapata love yetu baby nimedata hautahata

[03:02.50] Baby kila kitu nitaleta mediator

[03:05.75] Niipate tu mi kwa keja the creator

[03:08.00] Shukuru God kwa mahater

[03:09.76] Nataka nikusuke nikitumia vitenzi

[03:12.27] Kwako nimechizi nafeel tu vishenzi

[03:14.77] Tangu zile enzi hio sura yako

[03:17.25] Inamulika ka mwezi mpenzi my miss

[03:19.51] Mi nataka nikukiss nikumess

[03:21.26] Nikubless nikuadvertise hadi kwa press

[03:23.75] Empress sema yes sema yes sema yes

[03:26.52] Wakali Wao si unajua

[03:28.26] Until the rest

[03:29.50] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[03:31.77] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[03:34.26] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[03:36.75] Gal am your mr you are my miss

[03:39.00] Napenda malips ju ya vile unavyokaa

[03:41.75] Napenda mahips juu ya vile unavyovaa

[03:44.00] Ukinikiss juu kadaily nakumiss

[03:46.25] Gal am your mr you are my miss