Tesa
[00:01.99] Nadia Mukami – Tesa lyrics
[00:05.48] (ft. Fena Gitu & Khaligraph Jones)
[00:10.49] (Nadiaaaaa)
[00:12.98] Nadia!!
[00:14.49] Form ni kutesa
[00:15.74] (Fena nanana)
[00:17.74] Coz leo ni kutesaaa
[00:19.48] Yeah yeah
[00:21.74] Form ni kutesa
[00:24.23] (Vicky pon dis)
[00:27.74] Issa Friday night
[00:29.73] Ita wenzako waambie
[00:32.24] Kuna party tonight
[00:34.49] No time sasa wakimbie
[00:36.99] Chelewa chelewa mwana si wako
[00:39.74] Na uchunge usije hepa na wako
[00:42.22] Huo mchele usijetiliwa kwako
[00:45.23] Babyyyyy
[00:47.73] Ikibamba sana
[00:48.99] Piga kelele wewe (Eeeh eeeh)
[00:51.98] Na kama ni noma sana
[00:54.22] Piga kelele wewe (Eeeh eeeh)
[00:57.24] Boomerang dance on the dance floor
[00:59.73] Fine girls dance on the dance floor
[01:01.99] Hennessy pour on the dance floor
[01:06.24] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[01:10.72] Form ni kutesa
[01:15.50] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[01:20.49] Form ni kutesa
[01:29.49] Yeyeh, Yeah!
[01:34.99] Baada ya kazi nimeingiza doh
[01:37.23] Sina pressure
[01:39.74] Kwenye burudani nilipiga show
[01:41.99] Nilitesa
[01:43.74] Big up dem fine gal in a pretty likkle skirt
[01:46.99] Young man, in an African shirt
[01:49.47] Wave your hand and do the odi dance and
[01:51.76] Shake your bum like you know what you are worth
[01:54.24] Uuuh! All of the drinks on me
[01:56.24] Mifuko imejaa leo, imejaa pesa
[01:59.23] And if you look at me
[02:00.99] Looku looku vile natesa
[02:03.99] Uuuh naikibamba sana
[02:06.24] Wapi nduru wewee (Eeeh eeeeh)
[02:09.24] Na kama ni noma sana
[02:10.97] Piga kelele!
[02:12.49] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[02:15.24] Form ni kutesa
[02:20.74] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[02:25.75] Form ni kutesa
[02:30.24] Yeah! Nikona form
[02:31.49] Usiku to dawn
[02:32.73] Mbogi iko zone
[02:33.97] Imewasha kindom
[02:34.99] Keti mbaya tukucon
[02:36.22] Tukuteke kwa chuom
[02:37.50] Fena na Papa Jones
[02:38.49] Nadia hapa ndo Don
[02:39.72] Though simpati kwa phone
[02:40.98] Naskia ako Salon
[02:42.24] Juu leo mi ndo the bomb
[02:43.24] Club pia imechrome
[02:44.24] Mbogi mpaka ya Ngong
[02:45.49] Imebambika na songs
[02:46.49] Zile si huperform
[02:47.75] Rende pia ni wrong
[02:49.00] Niko juu ya nyama ya Bama na kachumbari
[02:51.74] Na juu ya diabetes chai hatuweki Sukari
[02:53.73] Plans saa hizi zimetufikisha huko kariorkor
[02:56.25] Walevi washaanza kulewa wamekalia floor
[02:58.99] Huh! Naskia form ni kutesa
[03:01.49] Tusimalize ganji ndo mtaa turudi kalesa
[03:03.74] Waka nesa mavodo bila chaser
[03:06.23] Hakuna kulala tunakesha tukitesa
[03:08.24] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[03:12.49] Form ni kutesa
[03:16.74] Coz leo ni kutesa (Tesa!)
[03:21.72] Form ni kutesa
