Naanzaje
[00:00.94] Naanzaje Lyrics – Diamond Platnumz
[00:06.19] (Ayolizer)
[00:08.19] Aliumba ardhi akaumba mbingu
[00:10.95] Akaumba mbaramwezi
[00:13.68] Kaumba nafsi, kaumba wivu
[00:16.18] Akayaumba na mapenzi
[00:18.72] Na kukuacha sidhani, siwezi jaribu
[00:23.44] Maana penzi kwa mzani, umenizidi mahabibu
[00:28.44] Shika vyema usukani, twende taratibu
[00:33.67] Baada ya tuta baby koleza gear
[00:37.42] Yaani tam tam kama pipi
[00:39.42] Nakuita sweet, ah lote lote
[00:42.45] Fundi kwenye kwichikwichi
[00:44.44] Shape vipi? Kama lote
[00:47.44] Vicheche nisha delete
[00:49.44] Sitaki cheat, wa toke toke
[00:52.43] Kwenye moyo nimekupa seat
[00:54.69] We ndo dereva, so kukuacha oh
[00:58.69] Naanzaje? (Ooh mimi)
[01:01.17] Naanzaje? (Aah mimi hapa)
[01:04.17] Naanzaje? Mwenzako kukuacha siwezi
[01:08.95] Naanzaje? (Ooh mimi)
[01:11.42] Naanzaje? (Aah mi jamani)
[01:13.42] Kukuacha oh, kabisa siwezi
[01:27.69] Hadithi kuja hadithi njoo, utamu kolea
[01:35.19] Mwezenu huba liko kwa roho, limeninogea
[01:40.18] Vishenshuda poleni woo, mnalo wambeya
[01:45.18] Mtaja kuumwa makwashakoo, kwa kutuongelea
[01:50.19] Tena me kwake ndo daktari, nampa tiba halali
[01:56.42] Wanaitaga sukari, alamba haa!
[02:00.94] Na jana nilifunga nikasali, nikamuomba Jalali
[02:06.68] Tuepushe madhohari, ya wanadamu
[02:11.22] Ah ah, we mtam tam kama pipi
[02:13.69] Nakuita sweet, ah lote lote
[02:16.94] Fundi kwenye kwichikwichi
[02:18.94] Shape vipi? Kama lote
[02:21.94] Vicheche nisha delete
[02:24.20] Sitaki cheat, wa toke toke
[02:26.92] Kwenye moyo nimekupa seat
[02:29.43] We ndo dereva, so kukuacha woo woo
[02:33.43] Naanzaje? (Ooh mimi)
[02:35.92] Naanzaje? (Aah mimi hapa)
[02:38.67] Naanzaje? Mwenzako kukuacha siwezi
[02:43.43] Naanzaje? (Ooh mimi)
[02:46.17] Naanzaje? (Aah mi jamani)
[02:49.92] Kukuacha oh, kabisa siwezi
[03:03.18] Na kukuacha sidhani
[03:07.44] Siwezi jaribu
[03:09.68] Maana penzi kwa mzani
[03:12.42] Umenizidi mahabibu
[03:14.93] (Wasafi)
