Nibebe
[00:02.04] "Nibebe"
[00:06.30] Nonini
[00:08.81] Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya
[00:11.57] Vile Swahili ni kitamu
[00:13.57] Au sio
[00:15.60] Nyota aa, Nyota aa
[00:20.87] Ndogo oo, Ndogo oo
[00:25.65] Nakupenda sana sitoficha
[00:28.40] Kama kukupenda ni makosa
[00:30.91] Sitaki kuwa sawa duniani
[00:33.67] Kwani nakupenda sio siri
[00:36.18] Wengi wakiyaona kwa macho
[00:38.95] Machozi yatoka kila siku
[00:41.70] Sitochoka mimi kukupenda
[00:44.21] Watakaosema na waseme
[00:46.97] Wengi wakiyaona kwa macho
[00:49.48] Machozi yatoka kila siku
[00:51.98] Sitochoka mimi kukupenda
[00:54.75] Watakaosema na wasemee
[01:00.00] Wameze wembe
[01:03.26] Mhhhhh, mhhhhh
[01:08.02] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[01:13.03] Nakukupa
[01:14.79] Ili
[01:15.79] Usiende
[01:18.30] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[01:23.57] Nakukupa
[01:25.32] Ili
[01:26.32] Usiende
[01:28.83] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[01:34.12] Nakukupa
[01:35.88] Ili
[01:36.88] Usiende
[01:39.64] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[01:44.65] Nakukupa
[01:46.40] Ili
[01:47.41] Usiende
[01:50.67] Mhhhhh, mhhhhh
[01:55.68] Mhhhhh, mhhhhh
[02:01.19] Mhhhhh, mhhhhh
[02:06.46] Mhhhhh, mhhhhh
[02:11.22] Penzi langu kwako limefika
[02:13.98] Tabasamu langu sitokunyima
[02:16.23] Daima nitakuwa wa furaha
[02:19.26] Nipe tafadhali nikuonjeshe
[02:21.76] Wee hautataka kubanduka
[02:24.52] Penzi langu nikikuonjesha
[02:27.03] Kama sio wewe nani tena
[02:29.54] Hakuna kama wewe maishani
[02:32.29] Wee hautataka kubanduka
[02:35.05] Penzi langu nikikuonjesha
[02:37.56] Kama sio wewe nani tena
[02:40.07] Hakuna kama wewe maishanii
[02:45.33] Ni wewe wangu
[02:48.84] Mhhhhh, mhhhhh
[02:53.39] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[02:58.65] Nakukupa
[03:00.16] Ili
[03:01.41] Usiende
[03:03.91] Nibebe nami nikuonyeshe penzi (yeah)
[03:08.93] Nakukupa
[03:10.68] Ili
[03:11.68] Usiende (Usiende Usiende)
[03:14.19] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[03:19.46] Nakukupa
[03:21.21] Ili
[03:22.47] Usiende
[03:24.97] Nibebe nami nikuonyeshe penzi (Shaa, yeah)
[03:30.27] Nakukupa
[03:31.77] Ili
[03:33.02] Usiende
[03:35.28] Niliskia manzi fulani akisema jua cali ananyesha
[03:38.29] Baada ya teso teso mi najua jo sitatesa tesa
[03:40.80] Pia nimejaribu kuchunguza mvua gani hiyo inawaka
[03:43.55] Nyota ndogo nikiiangalia juu hewani nairushia kamba
[03:46.05] Niivutie hapa kwa mchanga iwe yako msichana
[03:48.82] Ah-ah sitaki usiku ati mapenzi unionjeshe
[03:51.32] Nipe yote tuandamane kwa balcony ndethe
[03:53.58] Na usishtuke hata ka hapo nje tunaonekana na wasenge
[03:56.59] Sabu vile ntafanya nikikupa penzi langu bebe
[03:59.09] Itafanya wasee wengi wasichana, washike wasichana waanze kukatika genge
[04:02.60] Mwili zetu wawili zipate joto vile tumeshikana
[04:05.11] Na mi nakuambia tulia hapo ndani namwaga picana
[04:07.86] Sa ka uliteremka huko chini unaeza jijazia kijana
[04:10.37] Hakuna mali naenda niko na wee milele
[04:12.65] Nimekubeba mkononi jo balcony inaongezeka kelele
[04:15.65] Unanigwara mgongo ukisema
[04:17.40] Kuwa waipenda (na nikimwaga maziwa)
[04:20.16] Mvua yanyesha
[04:22.17] Aaah, aaah, aaah, aooooh
[04:28.43] Nibebe nami nikuonyeshe penzi
[04:33.45] Nakukupa
[04:35.20] Ili
[04:36.20] Usiende
[04:38.71] Nibebe nami nikuo...
