Lrc Player

Nikumbushe

Nandy
[05:00.09]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:11.42] Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele

[00:19.43] Pale mambo yanapoonekana hayaendi

[00:24.94] Ni ajabu sana namna moyo unahangaika

[00:31.45] Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba

[00:36.20] Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu,

[00:41.20] Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh

[00:49.71] Nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu

[00:55.22] Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,

[01:00.48] Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa.

[01:05.23] Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa

[01:09.75] Yalibadilika mambo, manung'unikoo yalisimama

[01:14.25] Na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah.

[01:26.77] Eee MUNGU Nisaidie ee eeh

[01:36.28] Nikumbushe wema wako nisije laumu

[01:42.04] Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu

[01:47.80] Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

[01:52.81] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,

[01:58.57] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,

[02:14.83] Eeh ee MUNGU Nisaidie

[02:18.83] Nisaidie kukumbuka baba yakwamba umenichora

[02:22.59] Kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh

[02:25.11] Na mimi umenionaa oooh ooo

[02:36.87] Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa

[02:46.14] Yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni.

[02:55.91] Ouoh ooh Yakwamba kama ungeniacha hatua moja

[02:58.07] Nisingelifika nilipo ooh eee Babaa

[03:07.42] Umenikung'uta mavumbi, kung'uta

[03:10.93] Mavumbi mimi na kuniheshimisha.

[03:17.18] Nikumbushe wema wako nisije laumu

[03:20.20] Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu

[03:26.10] Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

[03:30.21] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi

[03:36.72] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,

[03:43.74] Nikumbushe wema wako nisije laumu

[03:49.25] Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu

[03:54.76] Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

[04:00.27] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi

[04:06.02] Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,

[04:12.28] Yesu nakutazama ninakuamini wewe

[04:18.16] Fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike

[04:24.57] Mbele zako, katika hali zote nijue upo

[04:34.53] Umesema hutaniacha eeh Yahweh