Hakuna kama wewe
[00:22.40] Nakwabudu Mungu eeh
[00:27.41] Naungana na Malaika baba
[00:31.40] Pamoja na maseraphi ewe
[00:34.42] Makerubi na wazee ishirini na wanne
[00:39.42] Kusema hakuna kama wewe eeh
[00:46.94] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[00:48.69] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[00:50.70] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[00:53.20] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:08.72] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[01:12.98] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[01:18.23] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[01:23.39] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[01:30.40] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:32.16] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:34.91] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:37.66] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:51.82] Wakulinganishwa na Wewe,
[01:54.84] Wakusimama kando yako,
[01:57.59] Wakusimama juu yako, hakuna
[02:02.35] Aliye na nguvu kama Wewe
[02:05.09] Anayetupenda kama Wewe
[02:08.11] Anayetulinda, hakuna
[02:13.60] Anayetujali sisi
[02:16.86] Anayetupa tunapoomba
[02:19.61] Anayejibu maombi, hakuna
[02:24.26] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:27.41] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:29.91] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:32.67] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:58.21] Mtakatifu wa watakatifu
[03:02.96] Uliyeketi kwenye kiti cha Enzi
[03:08.48] Hakuna mwingine kama Wewe Baba
[03:13.98] Hakuna anayetawala, eieeh
[03:20.25] Unayeponya magonjwa ya kila aina
[03:24.76] Saratani na kisukati, hata ukimwi
[03:31.02] Hakuna jambo ngumu kwako
[03:33.78] Wazitatua shida zetu
[03:37.03] Wazifahamu wewe Baba, twakwabudu
[03:41.93] Umetupa afya njema
[03:45.18] Umetulinda usiku kuccha
[03:47.93] Umekuwa rafiki wetu, wa karibu
[03:52.94] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[03:55.44] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[03:58.19] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:00.95] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:15.11] Unayefarithi waliofiwa
[04:18.03] Nakutufuta machozi
[04:21.53] Unayetupa Amani Baba, twakwabudu
[04:27.04] Unayesamehe dhambi Jehovah
[04:29.29] Unayeweka roho zetu huru
[04:32.30] Unafungua minyororo, ya shetani
[04:37.30] Twakimbilia kwako ewe Baba
[04:40.31] Msaada wetu ni wee
[04:42.81] Tegemeo letu ni wee
[04:46.21] Ieeh, Messiah
[04:48.11] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:50.62] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:53.38] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:56.13] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:09.65] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[05:14.90] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[05:20.41] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[05:25.91] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[05:31.56] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:35.43] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:37.57] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:40.23] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:42.64] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:45.38] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:48.13] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:50.89] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:53.65] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:57.90] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
