hakuna_kama_wewe_by_kathy_praise_mp3_20096
[00:22.40] Nakwabudu Mungu eeh
[00:27.41] Naungana na Malaika baba
[00:31.40] Pamoja na maseraphi ewe
[00:34.42] Makerubi na wazee ishirini na wanne
[00:39.42] Kusema hakuna kama wewe eeh
[00:45.33] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[00:50.84] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[00:56.34] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:01.74] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:08.72] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[01:12.98] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[01:18.23] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[01:23.39] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[01:30.40] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:34.80] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:40.56] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:46.07] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[01:51.82] Wakulinganishwa na Wewe,
[01:54.84] Wakusimama kando yako,
[01:57.59] Wakusimama juu yako, hakuna
[02:02.35] Aliye na nguvu kama Wewe
[02:05.09] Anayetupenda kama Wewe
[02:08.11] Anayetulinda, hakuna
[02:13.60] Anayetujali sisi
[02:16.86] Anayetupa tunapoomba
[02:19.61] Anayejibu maombi, hakuna
[02:24.26] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:30.17] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:35.92] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:41.43] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[02:58.21] Mtakatifu wa watakatifu
[03:02.96] Uliyeketi kwenye kiti cha Enzi
[03:08.48] Hakuna mwingine kama Wewe Baba
[03:13.98] Hakuna anayetawala, eieeh
[03:20.25] Unayeponya magonjwa ya kila aina
[03:24.76] Saratani na kisukati, hata ukimwi
[03:31.02] Hakuna jambo ngumu kwako
[03:33.78] Wazitatua shida zetu
[03:37.03] Wazifahamu wewe Baba, twakwabudu
[03:41.93] Umetupa afya njema
[03:45.18] Umetulinda usiku kuccha
[03:47.93] Umekuwa rafiki wetu, wa karibu
[03:52.94] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[03:58.37] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:04.88] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:10.39] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:15.11] Unayefarithi waliofiwa
[04:18.03] Nakutufuta machozi
[04:21.53] Unayetupa Amani Baba, twakwabudu
[04:27.04] Unayesamehe dhambi Jehovah
[04:29.29] Unayeweka roho zetu huru
[04:32.30] Unafungua minyororo, ya shetani
[04:37.30] Twakimbilia kwako ewe Baba
[04:40.31] Msaada wetu ni wee
[04:42.81] Tegemeo letu ni wee
[04:46.21] Ieeh, Messiah
[04:48.11] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[04:53.52] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:00.17] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:04.93] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:09.65] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[05:14.90] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[05:20.41] Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
[05:25.91] Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
[05:31.56] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:38.21] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:43.48] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[05:49.64] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:05.66] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:14.58] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:24.84] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:30.09] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:38.60] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
[06:43.76] Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
