BURUKLYN_BOYZ_-_DREAM_YA_KUTOKA_KWA_BLOCK_(Official_Music_Video)#kenyandrill_#kwaninikesho#tanonane(256k)
[00:02.91] Tano Nane, uh joh
[00:23.76] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[00:29.29] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[00:32.55] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[00:36.06] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[00:40.34] Ajay na M.Right duo strong
[00:41.84] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[00:43.10] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[00:45.86] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[00:49.64] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[00:53.41] Ajay na M.Right duo strong
[00:55.17] Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na kirifle
[00:56.68] Society inadhani tunafumble
[00:59.18] Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
[01:01.94] Wanatupenda ju tunaenda viral
[01:03.44] Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital
[01:04.96] Kwa ground mambo ni nare maboy wanafaa wareform
[01:08.74] Lakini watareform aje
[01:11.76] Na washajua ganji ilitoka na ndom
[01:13.51] Niko safe niko seti hizi zone
[01:15.51] Huwezi nishow venye we ni mrong
[01:16.77] Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
[01:19.03] Hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa
[01:23.78] Mresh wako asichekе na mgoon
[01:25.54] Huku East ama atamangwa
[01:27.54] Pereka huko ukidhani atajali hautalambwa
[01:29.03] Mkono zinateta bеfore atolewe chai ataganda
[01:35.06] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[01:37.33] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[01:43.09] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[01:44.09] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[01:47.37] Ajay na M.Right duo strong
[01:49.11] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[01:51.13] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[01:54.15] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[01:57.67] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[02:01.44] Ajay na M.Right duo strong
[02:02.93] Uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy
[02:05.93] Na ka unani-owe ma ganji man
[02:06.69] Mi nadai kuwa na profit
[02:07.95] That's why mi hukuwa kwa office
[02:09.70] Men in black tu na rock ma koti
[02:11.22] Let see mi hutrust manoti
[02:12.77] Maisha yangu naachia Sir God
[02:15.03] Flow ni ya kimaajabu na hii beat ni chopi
[02:17.04] B Boys si huset matrends na si huset ma subject
[02:21.07] Na nimekam nimerock my blue fam, chini ni red carpet
[02:24.82] Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
[02:28.33] Shash iko joh kwa chalice mi najikill close hio curtain
[02:32.93] Na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern
[02:35.22] Huku daily si hurun ma opps na unaeza dhani ni circus
[02:38.99] Buruklyn Boyz tulileta frakass kama ni drill close hio chapter
[02:41.98] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[02:45.50] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[02:48.77] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[02:52.27] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[02:54.02] Ajay na M.Right duo strong
[02:57.54] Tulikam na dream ya kutoka kwa block
[02:59.04] Yaani to get rich, tuomoke in-short
[03:02.31] Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
[03:05.82] Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
[03:08.84] Ajay na M.Right duo strong
