Lrc Player

Mdomo

Harmonize ft Ibbra
[03:21.10]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:02.34] Hahaha Jeshi

[00:07.10] I got the sound crazy

[00:09.62] Chinga!

[00:13.41] I wanna sing for my lady oh

[00:15.41] My sexy lady

[00:17.67] Wanaokesha wakiomba tuachane

[00:23.47] Wanaupaka rangi upepo

[00:25.72] Ufe nikuzike tuzikane

[00:28.48] Kesho tukakutane kwa pepo

[00:30.99] Hasi na chanya tugandane

[00:33.75] Kisha tuzidi cha tempo

[00:36.26] Ila sita saba na nane

[00:38.52] Hata kumi singekuwepo

[00:40.78] Tena unavyonisuza hujikwezi

[00:42.53] Sio wa kulala buza ushinde mbezi

[00:45.04] Yaani unawaburuza hawakuwezi

[00:47.55] Umeniteka mama aah

[00:50.55] Watoto wa Mombasa huko Kenya

[00:52.83] Wanaitamani ndizi ya kumenya

[00:54.83] Wanajiuliza vipi umemenya

[00:57.33] Mpaka tembo hapinduki

[01:00.11] Akina Carry Mastory wanakusengenya

[01:02.64] Na vile huwajibu wanajitekenya

[01:04.89] Na ulivyo na sifa unanipa tena

[01:07.40] Yaani mpaka asubuhi

[01:09.16] Kifupi umeniziba

[01:10.66] Mdo mdo mdomo

[01:12.16] Mdo mdo mdomo

[01:14.67] Mdo mdo mdomo, mdo

[01:17.48] Yaani baby umeniziba

[01:20.52] Mdo mdo mdomo

[01:22.29] Mdo mdo mdomo

[01:24.54] Mdo mdo mdomo, mdo

[01:27.04] Oh baby me I don't really understand

[01:34.60] Nahisi kama umenifanyia limbwata

[01:36.60] Ila ndo mapenzi sishangai

[01:38.61] My lady I don't want a night stand

[01:43.37] Mi kwako chizi nishadata

[01:46.13] Nishakupenda akili haidai

[01:48.14] Maana unanipa mawenge, wengenge

[01:51.40] Mala bichwa mara mbwe, mbwengenge

[01:53.41] Kajaji mna kite, kitengenge

[01:56.16] Ili mradi uchokozi oh nah nah nah

[01:58.42] Naacha anatazama mbingu

[02:01.93] Na mikono nishamfunga na pingu

[02:04.44] Hii baridi huko nnje kuna wingu

[02:05.95] Mi namwa-namwagaga machozi

[02:08.96] Watoto wa Mombasa huko Kenya

[02:10.98] Wanaitamani ndizi ya kumenya

[02:12.98] Wanajiuliza vipi umemenya

[02:15.24] Mpaka tembo hapinduki

[02:18.03] Akina Carry Mastory wanakusengenya

[02:20.79] Na vile huwajibu wanajitekenya

[02:23.06] Na ulivyo na sifa unanipa tena

[02:25.06] Yaani mpaka asubuhi

[02:27.57] Kifupi umeniziba

[02:29.08] Mdo mdo mdomo

[02:30.83] Mdo mdo mdomo

[02:33.85] Mdo mdo mdomo, mdo

[02:36.60] Yaani baby umeniziba

[02:38.87] Mdo mdo mdomo

[02:40.89] Mdo mdo mdomo

[02:43.41] Mdo mdo mdomo, mdo

[02:45.91] Ibraah nataka niteleze kweupe

[02:50.94] Nikitapika nifute (Hana baya)

[02:52.43] Ananifanya nisijitu (Hana baya)

[02:54.20] She say chumbani nikukute

[02:59.46] Nyonga ganja mbili tuvute

[03:01.47] Hilo vumbi la konga uikute

[03:04.00] Hana baya, hana

[03:07.27] Konde boy call me number one

[03:12.56] Chinga yes number one, number one