Moyo wangu
[00:01.04] Moyo Wangu, Ukae Kimya
[00:05.57] Amen.
[00:07.82] Moyo, moyo wangu
[00:21.86] Moyo wangu, usilie tena
[00:36.94] Moyo wangu, usibabaike
[00:42.98] Unaye Mungu, mkuu sana
[00:48.25] Unaye Mungu, muweza wa yote
[00:54.02] Aliingia rohoni mwangu
[00:57.29] Kanipa kutulia
[01:00.05] Kaniambia "ewe mwanangu
[01:02.81] Usilie lie tena
[01:05.32] Aliingia rohoni mwangu
[01:08.33] Kanipa kutulia
[01:11.09] Kaniambia "ewe mwanangu
[01:14.85] Usilie lie tena
[01:17.86] Ninajua shida zako
[01:20.87] Mimi nitazitatua
[01:23.91] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[01:29.18] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[01:34.45] Kati giza, Yesu mwanga wangu
[01:40.71] Kati huzuni, Yesu ni mfariji
[01:43.73] Kati vita, Yesu mwamba wangu
[01:52.01] Katika njaa, Yesu mkate wa uzima
[01:58.54] Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
[02:03.80] Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
[02:09.57] Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
[02:16.34] Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
[02:21.36] Anajua shida zangu, Yeye anazitatua
[02:27.38] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[02:33.17] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[02:37.68] Eh eh eh eh eh eh eh eh eh yooo bwana wewe
[02:47.25] Aliingia rohoni mwangu
[02:52.77] Kanipa kutulia
[02:55.78] Kaniambia "ewe mwanangu
[02:59.04] Usilie lie tena
[03:00.29] Aliingia rohoni mwangu
[03:03.33] Kanipa kutulia
[03:06.09] Kaniambia "ewe mwanangu
[03:09.11] Usilie lie tena
[03:11.86] Ninajua shida zako
[03:15.38] Mimi nitazitatua
[03:18.14] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[03:21.90] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[03:28.93] Aliingia rohoni mwangu
[03:32.95] Kanipa kutulia
[03:35.22] Kaniambia "ewe mwanangu
[03:38.48] Usilie lie tena
[03:40.73] Aliingia rohoni mwangu
[03:44.25] Kanipa kutulia
[03:46.76] Kaniambia "ewe mwanangu
[03:50.04] Usilie lie tena
[03:52.28] Ninajua shida zako
[03:55.57] Mimi nitazitatua
[03:58.32] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[04:04.60] Bila Yesu, mimi ni mtu bure
[04:07.61] Eh eh eh eh eh eh eh eh eh
[04:15.13] Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
[04:19.65] Sijui bila wewe Bwana wangu
[04:23.66] Ningekuwa wapi
[04:27.70] Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
[04:32.74] Sijui bila wewe Bwana wangu
[04:37.77] Ningekuwa wapi
[04:39.26] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[04:42.54] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[04:52.32] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[04:56.85] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[05:01.36] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[05:05.13] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[05:13.42] Eh Yahweh, Eh Yahweh
[05:22.20] Oooooh Baba Sitanyamaza
[05:30.72] Asubuhi kama vile Mchana Nitakuita wewe
[05:33.99] Oooooh baba Sitanyamaza
[05:41.54] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[05:50.82] Eh Yahweh, ningekua wapi ooooh
[05:54.84] Eh Yahweh, we ni yote kwangu
[06:01.61] Eh Yahweh, ningekua
