Mtaje
[00:01.30] Big boy...
[00:12.84] Mmmmh mmhh.
[00:36.92] Anakasura ka upoleeeee
[00:39.18] Miaka nenda rudi hazeeekiii.
[00:41.95] Tena ni mtu wa Gym Gym
[00:44.20] Shepu ndo linanipa wazimu zimu
[00:46.95] Na tattoo nimchoree
[00:48.72] Ila ndo hivo tena hapendekiii.
[00:51.49] Amakweli mapenzi hayana mwalimu
[00:54.24] Wengine hata kuniona ni adimu
[00:56.50] Hivi tuseme anangekewa.
[00:58.26] Ama nyota yake kali ananizidi.
[01:01.02] Ama mjini nimechelewa
[01:02.78] Mbona wengine wanamponda wanamwita bibi
[01:05.79] Nilianza kumuona mapema
[01:08.30] Enzi za mabanda ya sinema
[01:10.81] Alikuaga ni rafiki na wema she's so beauuuu.
[01:15.59] Acha wanione mshamba tuu...
[01:17.85] Tuta huwezi kulipigia hona
[01:20.36] Umri nao ni namba tuu
[01:22.62] Kinacho niuma anajifanya Haoni
[01:25.63] Kama unamjuaaaa (mtajee)
[01:27.63] Nani anemjuaaaa.(mtajee)
[01:30.40] Kama unamjuaaaa (mtaje avimbe kichwa ajisifiee)
[01:34.91] Basi kama unamjuaa. (Mtajee)
[01:38.19] Kama unamjuaaa (mtajee)
[01:39.44] Kama unamjuaaa (mtajee avimbe kichwa ajisifieee mmh mmh mmh)
[02:03.29] Anae lenga kwa rula sikuzote ndo apatayeee.
[02:08.55] Mwambieni mwanangu ppoula mi nampenda mamayeee.
[02:13.33] Tena ni fundi wa kuchanua aaah
[02:15.84] Utasema samaki Ng'onda
[02:18.62] Hapo ndo nikagundua aaah nini kiliwaliza makondaaa.
[02:23.13] Wa daladaladala
[02:25.64] Mi nashindwa kulalalalalala
[02:27.67] Hana mbadaladaladala
[02:30.17] Anaitwa ka ka eeeh
[02:33.94] Hakika ye ndo kiboko yangu jua likiwaka ikinyeshaaaa
[02:36.45] Utembo na ujeshi wangu getini Kwake nilikesha...
[02:41.71] Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzuuu
[02:44.21] Sawa unywe pombe na useme una Udhuuu
[02:47.23] Na mtu ukishapenda unakua Zuzuu
[02:49.24] Eti nawaza aje kua mama zuzu
[02:52.02] Kama unamjuaa. (Mtajee)
[02:54.02] Kama unamjuaaa (mtajee)
[02:56.79] Kama unamjuuuu (mtajee avimbe kichwa ajisifieee mmh mmh mmh)
[03:20.87] Eeeh
[03:21.86] Big boy na migoo wanamjua
[03:24.13] Cha upole anamjua
[03:26.64] Anko Duke Naye anamjua
