Lrc Player

Utu

Ali Kiba (king)
[04:05.43]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:11.63] Yooooo!

[00:14.39] (Yogo on beat)

[00:19.40] You're sweet like pipi mamaa

[00:22.67] I can fight

[00:24.17] I can kill someone

[00:26.17] For you

[00:28.70] Because am in danger zone (oh no)

[00:32.23] This feeling feeling that am feeling

[00:36.50] It's too much

[00:39.02] I see future, life with you is so brighter

[00:42.30] Nakupenda sana, you know that

[00:45.31] I'll die for you

[00:49.07] Ooh sweet heart, life with you is so sweeter

[00:53.60] Nakupenda sana, you know that

[00:55.86] Nakupenda sana, you know that

[00:58.37] Yeah

[00:59.38] Na hakuna kipya kwenye dunia

[01:01.38] Oh my love

[01:03.90] Na ndio maana tamaa nazizuia

[01:06.19] Oh my love

[01:08.72] Natupa maelfu kwa mamia

[01:11.48] In this world

[01:14.01] Ila we pekee nimekuchagua

[01:17.01] I swear to God

[01:18.26] Na umebarikiwa

[01:19.77] Utu na utulivu

[01:22.03] Umebarikiwa

[01:25.04] Utu na utulivu

[01:27.80] Licha ya upole na uzuri

[01:29.60] Una utu na utulivu

[01:33.34] Umebarikiwa

[01:34.86] Utu na utulivu

[01:37.90] Ohooo

[01:49.68] Siku zote maumivu maumivu

[01:59.48] Yapo kutufunza

[02:04.25] Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza

[02:08.26] Huko nyuma hukumu

[02:10.27] Hukumu zilisha nikumba

[02:14.05] Na mateso kung'ang'ania

[02:16.32] Pendo usipopendwa

[02:19.10] Niliforce kujificha kule kumbe

[02:21.62] Chaka langu ni hapa

[02:24.13] Sasa napewa amani

[02:26.14] Mapenzi yasiyo na mipaka

[02:29.15] Ananikanda huku mabegani

[02:31.40] Ananishika na hapa

[02:34.16] Masage mgongoni

[02:36.17] Yananilevya makopa

[02:38.92] Na hakuna kipya kwenye dunia

[02:41.45] Oh my love

[02:44.20] Na ndio maana tama nazizuia

[02:46.96] Oh my love

[02:50.23] Natupa maelfu kwa mamia

[02:52.99] In this world

[02:54.51] Ila we pekee nimekuchagua

[02:56.26] I swear to God

[02:57.77] Na umebarikiwa

[02:59.76] Utu na utulivu

[03:02.29] Umebarikiwa

[03:04.82] Utu na utulivu

[03:07.83] Licha ya upole na uzuri

[03:09.59] Una utu na utulivu

[03:11.61] Umebarikiwa

[03:15.12] Utu na utulivu

[03:18.89] Oooh

[03:19.90] Aaaah

[03:39.48] Namuona yeye

[03:43.24] (Analia ninapougua)

[03:45.26] Aaaah

[03:46.76] Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua)

[03:50.29] Aaaah

[03:53.04] Namuona yeye(Analia ninapougua)

[03:55.05] Aaaah

[03:56.57] Namuona yeye(Akikesha ananiombea dua)

[03:59.83] By Mzunguu