Lrc Player

Bembeleza

Marlaw
[04:40.53]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:00.03] "Bembeleza"

[00:01.53] Haaa haa

[00:04.03] Haaa haa

[00:06.79] Nipesa simu

[00:09.04] Nimbembeleze

[00:11.05] Hey hey hello ma

[00:13.81] Laiti ungekuwa unaniona

[00:16.57] Vile kila time

[00:17.57] Nakonda nawaza

[00:19.07] Kama kukupata nitaweza

[00:22.08] Jinsi gani kukueleza

[00:24.34] Au mi sijui kubembeleza

[00:27.11] Usinikatae utaniumiza

[00:29.37] Nakupenda

[00:30.12] Kukutenda sitoweza

[00:32.62] Kila time

[00:33.39] Nakuangalia usoni ma

[00:35.40] Sio kamaa

[00:36.15] Nakosa neno kusema

[00:37.90] Ulivyo ma

[00:38.68] Unafanya nkosa kunena

[00:40.68] Ingawa moyo

[00:41.43] Hautaki kunena tena

[00:43.18] Wazo kichwani lina beep

[00:44.69] (kukueleza)

[00:45.44] Ila bipi vibaya ukinijibu

[00:47.45] (bembeleza)

[00:48.45] Nahisi sijui bembeleza

[00:50.71] Utakataa halafu mi utaniumizaa

[00:54.21] Kidesign nakuangalia usoni ma

[00:56.72] Kuna sign za kuita huko machoni ma

[00:59.48] Kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma

[01:01.98] Unachotaka nianze mikusema

[01:04.49] Hapa unafanya nijione

[01:05.99] (nitashinda)

[01:06.99] Hapa unafanya nitamke

[01:08.75] (nakupenda)

[01:09.75] Ila unacho jibu mdomoni

[01:12.01] Nitofauti nausemacho machoni

[01:15.53] We dada

[01:16.79] Mi unaniumiza

[01:18.04] We dada

[01:19.55] Sijamaliza

[01:20.30] Mbona unakata simu

[01:22.56] Please

[01:24.58] Usikate ma

[01:25.59] Hey hey

[01:26.86] Hello ma (Please)

[01:28.37] Laiti ungekuwa unaniona (na)

[01:31.13] Vile kila time

[01:32.13] Nakonda nawaza

[01:33.88] Kama kukupata nitaweza

[01:36.89] Jinsi gani kukueleza (My love)

[01:39.15] Au mi sijui kubembeleza

[01:41.90] Usinikatae utaniumiza

[01:44.16] Nakupenda

[01:44.66] Kukutenda sitoweza

[01:48.19] Hello ma

[01:49.94] Laiti ungekuwa unaniona

[01:52.47] Vile kila time

[01:53.47] Nakonda nawaza

[01:55.23] Kama kukupata nitaweza

[01:58.24] Jinsi gani kukueleza

[02:00.49] Au mi sijui kubembeleza

[02:03.00] Usinikatae utaniumiza

[02:05.50] Nakupenda

[02:06.25] Kukutenda sitoweza

[02:08.76] Kati yetu

[02:09.51] Imetawala rangi ya pinki (pink)

[02:11.52] Kitu ambacho moyoni siridhikii

[02:14.02] Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki

[02:16.80] Inajionyesha machoni unaafiki

[02:19.06] Lugha ya macho kwa sasa

[02:20.81] (nakataa)

[02:21.81] Tataka tuongee ilitufikie

[02:23.32] (mwafaka)

[02:24.82] Oooh oooh

[02:27.08] Aaah, aaah

[02:30.09] Kwenye party ulikuja umependeza

[02:32.84] Kwenye traini ukaniomba mi kucheza

[02:35.35] Tukadance na macho umelegeza

[02:38.11] Ulinibamba nikaficha kukueleza

[02:40.36] Unanimaliza

[02:41.62] Mimi ninakweleza

[02:42.90] Minakupembeleza

[02:44.15] Baby please

[02:44.68] Baby girl

[02:45.68] Vile unatamka

[02:46.93] Wewe kuona nataka

[02:48.18] Tuonge ana kwa ana

[02:49.44] Baby please

[02:49.94] Baby girl

[02:51.44] We Dada

[02:52.69] Mi unaniumiza

[02:54.20] We dada

[02:55.45] Sijamaliza

[02:56.45] Mbona unakata simu

[02:58.71] Please

[03:00.71] Usikate ma

[03:01.71] Hey hey

[03:02.72] Hello ma (Please)

[03:04.47] Laiti ungekuwa unaniona (na)

[03:06.98] Vile kila time

[03:07.98] Nakonda nawaza

[03:09.74] Kama kukupata nitaweza

[03:12.75] Jinsi gani kukueleza

[03:15.00] Au mi sijui kubembeleza

[03:17.78] Usinikatae utaniumiza

[03:20.05] Nakupenda

[03:20.80] Kukutenda sitoweza

[03:24.06] Hello ma

[03:25.82] Laiti ungekuwa unaniona

[03:28.57] Vile kila time

[03:29.57] Nakonda nawaza

[03:31.08] Kama kukupata nitaweza

[03:34.08] Jinsi gani kukueleza

[03:36.59] Au mi sijui kubembeleza

[03:39.10] Usinikatae utaniumiza

[03:41.35] Nakupenda

[03:42.12] Kukutenda sitoweza

[03:45.88] Hooow (hooow)

[03:49.41] Sasa kama (kama)

[03:52.16] Kamaaa...

[03:55.68] Umenielewa mbona

[03:58.43] Unachelewa sana

[04:01.44] Nambie nije,

[04:04.20] Nije sasa hivi

[04:06.45] Umenielewa mbona

[04:09.21] Unachelewa sana

[04:12.22] Nambie nije,

[04:14.97] Nije sasa hivi

[04:21.74] ...