[00:06.24] "Kisiwa cha Malavidavi"
[00:15.76] ...
[00:49.60] Mhhh
[00:51.86] Oooh
[00:54.11] La la la la la la la la
[00:57.88] Kwa kweli nilikuwa
[00:59.13] Napenda sana
[01:00.88] Mechi za nje
[01:01.88] Za ujana
[01:03.39] Aliyekuwa mke wangu
[01:06.15] Analia aah
[01:08.15] Kwa kweli nilikuwa
[01:09.40] Napenda sana baby
[01:10.91] Tena kuwahonga
[01:11.91] Mpaka magari
[01:13.68] Waliyekuwa watoto wangu
[01:16.19] Wanateseka na njaa
[01:18.45] Mitungi kila saa
[01:20.95] Nyumbani sina time
[01:22.20] Ya kukaa
[01:23.96] Marafiki nami
[01:26.47] Night club na mimi, aah
[01:28.72] Sasa nimebaki lonely
[01:31.23] Track redioni hazichezwi
[01:34.23] Yaani pesa hakuna
[01:35.49] Marafiki hakuna
[01:36.76] Hata bebi
[01:37.51] Hunitaki tena
[01:39.01] Sasa nimebaki lonely
[01:41.52] Track redioni hazichezwi
[01:44.53] Yaani pesa hakuna
[01:45.78] Marafiki hakuna
[01:47.03] Hata bebi
[01:47.53] Hunitaki tena
[01:49.29] Nakupenda aiyaa
[01:51.30] Nakupenda sana bebi
[01:54.55] Nakuhitaji mama mama
[01:56.56] Njoo kisiwa
[01:57.82] Cha malavidavi
[01:59.32] Nilikutenda aiyaa
[02:01.82] Nisamehe my baby
[02:04.83] Nakuhitaji mama mama
[02:06.59] Njoo kisiwa
[02:07.84] Cha malavidavi
[02:09.84] Silewi tena nisikize ma
[02:12.13] Kwani najua pombe
[02:13.40] Ndiyo chanzo ah
[02:15.16] Kilichofanya nikutende
[02:16.67] Dharau kibao
[02:17.67] Ndani ya nyumba
[02:18.42] Hakuna raha
[02:19.68] Na kwangu ulikuwa dhaifu
[02:20.93] Nisikize ma
[02:22.43] Kwani najua
[02:22.98] Kweli ulinipenda ah
[02:25.48] Watoto wangu niliwatenga
[02:26.74] Nisamehe
[02:27.49] Mpenzi
[02:28.24] Wangu
[02:28.74] Nasema..
[02:30.52] Sitaki rudia tena
[02:33.03] Najuta kwa yote
[02:33.78] Niliyofanya
[02:35.56] Nisamehe
[02:36.31] Na goti napiga
[02:38.31] Nalia ahh
[02:40.32] Sasa nimebaki lonely
[02:43.08] Track redioni hazichezwi
[02:45.83] Yaani pesa hakuna
[02:47.08] Marafiki hakuna
[02:48.33] Hata bebi
[02:49.09] Hunitaki tena
[02:50.60] Sasa nimebaki lonely
[02:53.35] Track redioni hazichezwi
[02:56.11] Yaani pesa hakuna
[02:57.36] Marafiki hakuna
[02:58.61] Hata bebi
[02:59.36] Hunitaki tena
[03:00.87] Nakupenda aiyaa
[03:03.13] Nakupenda sana bebi
[03:06.38] Nakuhitaji mama mama
[03:08.14] Njoo kisiwa
[03:09.39] Cha malavidavi
[03:10.90] Nilikutenda aiyaa
[03:13.40] Nisamehe my baby
[03:16.41] Nakuhitaji mama mama
[03:18.17] Njoo kisiwa
[03:19.67] Cha malavidavi
[03:21.68] Uje kwenye kisiwa
[03:22.93] Cha malavidavi
[03:26.69] Uje
[03:27.69] Tupeane
[03:29.19] Mapenzi
[03:32.45] Usisahau na wanangu
[03:35.21] Sahau yaliyopita
[03:38.22] Na tugange
[03:39.72] Yajayo...
[03:51.25] ...
