Lrc Player

Pressure

Hafsa ft Banana Zorro
[04:52.88]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:04.38] "Pressure"

[00:33.45] Mpenzi wangu

[00:34.24] Mimi kweli nakupenda

[00:36.24] Unajua ndo maana wanitesa

[00:38.25] Sio siri

[00:39.25] Honey wanipa pressure

[00:41.26] Pressure ah

[00:42.52] Pressure

[00:43.52] Pressure pressure

[00:44.52] Pressure ya nini

[00:46.02] Nakutesa tesa na nini

[00:48.28] Pressure pressure

[00:49.29] Pressure ya nini

[00:50.80] Mbona mpenzi huniamini

[01:02.85] Kila tunapotoka eh

[01:04.10] Mi narudi na ndonya

[01:05.90] Napigwa eti nawachukulia

[01:07.90] Khadija ndio nani

[01:09.15] Mbona anasumbua

[01:10.41] Usiku hatulali

[01:11.66] Simu kila mara

[01:13.17] Sababu maneno maneno

[01:15.67] Maneno yako mami

[01:18.18] Sababu mdomo mdomo eh

[01:20.44] Mdomo wako mami

[01:22.46] Nisiongee na watu eh

[01:25.47] Mbona wasichana pekee

[01:27.47] Labda ni madada zangu eh

[01:30.48] Mbona mabusu tele

[01:32.48] Mambo ya kizungu

[01:33.00] Maumaya sipumui akija

[01:34.80] Hata huduma

[01:36.07] Inasitishwa

[01:37.32] Niweke wazi

[01:38.32] Mi naona

[01:40.08] Mwenzangu huogopi maradhi

[01:43.08] Mama mama

[01:44.83] Hao wengine wadhamini eh

[01:47.59] Mpenzi wangu

[01:48.60] Mimi kweli nakupenda

[01:50.35] Unajua ndo maana wanitesa

[01:52.61] Sio siri

[01:53.36] Honey wanipa pressure

[01:55.61] Pressure ah

[01:56.87] Pressure

[01:57.62] Pressure pressure

[01:58.88] Pressure ya nini

[02:00.38] Nakutesa tesa na nini

[02:02.64] Pressure pressure

[02:03.67] Pressure ya nini

[02:05.17] Mbona mpenzi huniamini

[02:17.48] Vipi kuhusu Anita

[02:19.98] Yule binti wa Morocco oh

[02:22.49] Acha yule Rose

[02:25.00] Mwenye mtoto wako

[02:27.50] Kitanda hakizai haramu

[02:30.01] Ile kweli damu yangu

[02:31.51] (nisamehe)

[02:32.27] Kuhusu huyo Anita

[02:34.30] Mh

[02:35.05] Anita mbona simkumbuki

[02:37.56] Mbona kigugumizi

[02:39.81] Sababu waniona mwizi

[02:42.57] Mbona kigugumizi

[02:44.83] Mapenzi yamekwisha siku hizi

[02:46.83] Mpenzi wangu

[02:47.83] Mimi kweli nakupenda

[02:49.86] Unajua ndo maana wanitesa

[02:51.86] Sio siri

[02:52.86] Honey wanipa pressure

[02:54.87] Pressure ah

[02:56.12] Pressure

[02:57.12] Pressure pressure

[02:58.12] Pressure ya nini

[02:59.63] Nakutesa tesa na nini

[03:01.88] Pressure pressure

[03:02.90] Pressure ya nini

[03:04.66] Mbona mpenzi huniamini

[03:06.67] Nakupenda nakuheshimu

[03:07.97] Lakini huna aibu wewe

[03:10.23] Eeh

[03:11.23] Nakupenda nakuamini

[03:13.00] Lakini sina imani tena

[03:15.01] Nawe eh

[03:16.51] Kama zamani

[03:17.01] Na sasa kuna tofauti

[03:18.26] Nisamehe

[03:21.28] Kama zamani

[03:22.03] Ba sasa kuna tofauti

[03:23.28] Tumalize

[03:25.04] Tofauti zetu eh

[03:27.54] Mimi na wewe eh

[03:29.80] Tofauti zetu eh

[03:31.30] Mpenzi wangu

[03:32.30] Mimi kweli nakupenda

[03:34.31] Unajua ndo maana wanitesa

[03:36.31] Sio siri

[03:37.33] Honey wanipa pressure

[03:39.59] Pressure ah

[03:40.84] Pressure

[03:41.59] Pressure pressure

[03:42.59] Pressure ya nini

[03:44.10] Nakutesa tesa na nini

[03:46.61] Pressure pressure

[03:47.40] Pressure ya nini

[03:49.16] Mbona mpenzi huniamini

[03:51.69] Allan Mapigo Said Komorien

[03:54.97] Banana ananitesa eh

[03:58.47] Hey

[04:04.74] Bl 🐉 Lyrics

[04:13.51] ...