Lrc Player

Usiende

Juliana Kanyomozi
[04:35.54]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:00.57] "Usiende"

[00:01.36] feat. Bushoke

[00:02.11] Uuuh

[00:04.86] Eeeh yeeah

[00:07.37] Aah, aaah

[00:10.89] Deka unavyo deka

[00:12.89] Kama mtoto

[00:16.40] Nitakubembeleza

[00:18.16] Mi' wako

[00:20.16] Oooh

[00:21.41] Nitazidi

[00:22.16] Kupa vitu moto moto

[00:26.69] Mapenzi kupendana

[00:28.97] Sii mchezo

[00:32.23] Na..kusi..hi

[00:35.48] Usijeniacha mimi

[00:36.76] Solemba

[00:38.76] Najisihi

[00:40.01] Na mimi

[00:41.01] Nisije kuacha wewe

[00:42.30] Solemba

[00:43.83] Tunavyo i..shi

[00:46.33] Wanandhani tunadanganyana

[00:49.34] Sii rahisi

[00:50.59] Amini

[00:51.60] Mimi nawe tukatengana

[00:53.60] Usiende mbali nami

[00:56.11] Kwani bado nakupenda

[00:58.86] Usiondoke mbali nami

[01:01.37] Mimi bado nakupenda

[01:04.38] Usiende mbali nami

[01:06.63] Eeeh

[01:06.89] Kwani bado nakupenda (Eeeh)

[01:09.39] Usiondoke mbali nami

[01:12.17] Mimi bado nakupenda

[01:14.67] Tangu niko na wewe

[01:17.43] Ni furaha

[01:20.19] Kukosa hata saa

[01:22.69] Nikaraha

[01:25.45] Bila wewe siwezi ishi

[01:30.71] Kwako mimi sio mbishi

[01:34.23] Eeeh eeh

[01:36.23] Wanapiga misele

[01:38.73] Kila mara

[01:41.49] Wanatimua mavumbi

[01:44.00] Sisi twala

[01:46.77] Wanataka mapinduzi

[01:52.03] Na mapinduzi hawayawezi

[01:54.79] Oooh ooh

[01:57.55] Ma..umi..vu

[02:01.06] Ya mapenzi naogopa sanaa

[02:04.07] Hata wi..vu

[02:06.33] Ninao kwani

[02:06.86] Sina roho ya chuma

[02:08.38] Na..kusi..hi

[02:11.68] Usijeniacha mimi

[02:12.93] Solemba-aa

[02:14.69] Najisihi

[02:15.94] Na mimi

[02:16.95] Nisije kuacha wewe

[02:18.20] Solemba

[02:18.98] Usiende mbali nami

[02:21.45] Kwani bado nakupenda

[02:24.21] Usiondoke mbali nami

[02:26.73] Mimi bado nakupenda

[02:29.49] Usiende mbali nami

[02:31.77] Eeeh

[02:32.27] Kwani bado nakupenda (Eeeh)

[02:34.77] Usiondoke mbali nami

[02:37.53] Mimi bado nakupenda

[02:40.29] Usiende mbali nami

[02:42.84] Kwani bado nakupenda

[02:45.34] Usiondoke mbali nami

[02:48.12] Mimi bado nakupenda

[02:50.87] Usiende mbali nami

[02:53.13] Eeeh

[02:53.63] Kwani bado nakupenda (Eeeh)

[02:56.14] Usiondoke mbali namiiii

[02:58.89] Mimi bado nakupenda

[03:01.40] Nakupenda unanipenda

[03:03.66] Usije kwenda

[03:04.66] Ooh mbali nami

[03:05.94] (Ooh mama)

[03:06.69] Nakupenda unanipenda

[03:08.95] Usije kwenda

[03:09.95] Ooh mbali nami

[03:11.71] Usiendeeee......

[03:14.76] Kwani bado nakupenda

[03:17.01] Usiondoke.....

[03:20.03] Mimi bado nakupenda(yeah)

[03:21.28] (Yeah eeh)

[03:22.28] Usiondoke eh eh eh

[03:24.83] Eh eh eh eh

[03:25.59] Kwani bado nakupenda (Eh eh eh eeh)

[03:27.59] Usiondoke eh eh eh

[03:30.12] Eh eh eh eh

[03:30.87] Mimi bado nakupenda (Eh eh eh eeh)

[03:33.39] Nakupenda unanipenda

[03:35.14] (Nakupenda)

[03:35.64] Usije kwenda

[03:36.89] Ooh mbali nami

[03:37.89] (Nakupenda sana...)

[03:38.90] Nakupenda unanipenda

[03:40.65] Usije kwenda (Nakupenda we-eeh)

[03:42.16] Ooh mbali nami

[03:43.16] (Nakupenda sana...)

[03:44.16] Nakupenda unanipenda

[03:45.92] Usije kwenda (Nakupenda we-eeh)

[03:47.42] Ooh mbali nami (eeh-eh)

[03:48.68] (Nakupenda sana...)

[03:49.43] Nakupenda unanipenda

[03:51.43] Usije kwenda (Nakupenda we-eeh)

[03:52.93] Ooh mbali nami (eeh-eh)

[03:53.94] (Nakupenda sana...)

[03:54.94] Nakupenda unanipenda

[03:56.70] Usije kwenda (Nakupenda we-eeh)

[03:58.20] Ooh mbali nami (eeh-eh)

[04:05.51] Nakupenda unanipenda (Eeeh eh eh eeh)

[04:07.54] Usije kwenda (Nakupenda..)

[04:08.80] Ooh mbali nami (Usiende mbali)

[04:10.81] Nakupenda unanipenda (ooh oh oh ohh)

[04:12.82] Usije kwenda (ooh..)

[04:14.07] Ooh mbali nami (mbali nami)

[04:16.08] Nakupenda unanipenda (penda tena sana)

[04:18.08] Usije kwenda (nakupenda..)

[04:19.33] Ooh mbali nami (usiende mbali)

[04:21.34] Nakupenda unanipenda

[04:23.34] Usije kwenda

[04:24.34] Ooh mbali nami

[04:30.61] Bl 🐉 Lyrics

[04:34.12] ...