Hayawani
[00:05.16] "Hayawani"
[00:18.76] Mhhh mhhh..
[00:21.68] Kabla Suala ukamilishe Mum
[00:24.33] Tafadhali Mola mwambie
[00:26.46] Milele anichunge
[00:27.53] Mi nisije zama
[00:29.65] Mashetani yasinivamie
[00:32.30] Chuki wivu tu na kutesa
[00:34.96] Linda kwako usiwaskie
[00:37.08] Kwa nini hatuwezi sote kupenda
[00:40.00] Oii wenzangu acha niwaambie
[00:42.40] Labda si sote wendawazimu
[00:45.05] Labda laana yetu pesa
[00:47.44] Kesho ukipoteza kila kitu
[00:50.10] Dunia nzima itakucheka
[00:52.77] Wanaomba ntiliwe
[00:53.83] Chai yangu sumu
[00:55.43] Wabaki hao ndio kusema
[00:58.08] Kesho wapigie
[00:58.89] Demu wangu simu
[01:00.74] Asahau alivyonipenda!
[01:03.13] Ooo mahayawani
[01:04.19] Hayayayaya
[01:06.85] Hayawani hawa si watu hawa
[01:09.51] Hayayayaya
[01:12.16] Binadamu kageuka mnyama
[01:14.02] Hayawani (Hayawani)
[01:15.35] Hayawani (hayawani)..
[01:16.94] Hayawani...
[01:17.47] Hayayayaya
[01:19.33] Hayawani (Hayawani)
[01:20.93] Hayawani (hayawani)..
[01:22.25] Hayawani...
[01:22.79] Hayayayaya
[01:25.71] Tunaongezea nini bidii?
[01:28.36] Na roho ya mwanadamu
[01:29.69] Haitosheki aki
[01:31.55] I'm sorry if I never
[01:32.35] Made u happy
[01:34.21] I can't be there
[01:35.00] For everybody
[01:37.13] It's easy to see
[01:38.99] Wengi huishi tu
[01:39.79] Kutafuta kasoro kwako
[01:42.18] Why man so money minded?
[01:44.83] You wanna take from everyone
[01:47.22] Man eat man society
[01:49.35] Huoni haya kuvunja familia
[01:52.29] Hamna utu
[01:52.82] Ni kujifikiria
[01:54.15] Woii binadamu wote mmegeuka
[01:56.80] Hayayayaya
[02:00.26] Hayawani hawa si watu hawa
[02:02.91] Hayayayaya
[02:05.57] Binadamu kageuka mnyama
[02:07.43] Hayawani (Hayawani)
[02:08.76] Hayawani (hayawani)..
[02:10.35] Hayawani...
[02:10.88] Hayayayaya
[02:12.74] Hayawani (Hayawani)
[02:14.07] Hayawani (hayawani)..
[02:15.40] Hayawani...
[02:16.19] Hayayayaya
[02:18.85] Kabla Suala ukamilishe Mum
[02:21.77] Tafadhali Mola mwambie
[02:23.90] Milele anichunge
[02:24.96] Mi nisije zama
[02:27.08] Mashetani yasinivamie
[02:29.47] Chuki, wivu tu na kutesa
[02:32.13] Linda kwako usiwaskie
[02:34.25] Kwa nini hatuwezi sote kupenda
[02:37.46] Oii wenzangu acha niwaambie
[02:39.58] Labda si sote wendawazimu
[02:42.24] Labda laana yetu pesa
[02:44.89] Kesho ukipoteza kila kitu
[02:47.55] Dunia nzima itakucheka
[02:49.68] Ooh wanaomba ntiliwe
[02:51.01] Chai yangu sumu
[02:52.87] Wabaki hao ndio kusema
[02:55.53] Kesho wapigie
[02:56.32] Demu yangu simu
[02:58.18] Asahau alivyonipenda!
[03:00.83] Hayawani eeeeh
[03:03.49] Hayawani
[03:06.15] Hayawani eeeeh
[03:08.80] Hayawani
[03:11.46] Hayawani eeeeh (Hayawani)
[03:14.11] Hayawani
[03:14.91] Hayayayayaya
[03:16.77] Hayawani eeeeh (hayawani)
[03:19.99] Hayayaya...
