Sugar
[00:24.50] Sweet like a kuku
[00:27.01] Tamu sana
[00:29.78] Sweet like a soup
[00:32.00] Am going to die
[00:34.76] Kwenye dimbwi sijiwezi
[00:37.25] Nimezama
[00:39.52] Mi corazon
[00:41.77] My baby banana
[00:44.27] Penzi hulifichi kama ni sindano
[00:47.25] Itachoma
[00:50.00] Mi siambiliki hata wakaniroge
[00:52.77] Kigoma
[00:57.76] Ukiugusa mwili wangu
[01:01.22] Nashituka moyo paah
[01:01.97] Mpenzi wangu nishike
[01:02.47] Nisije nikapaa
[01:04.46] Kama mvua na mawingu
[01:06.23] Kama mwezi na anga
[01:09.73] Sina jambo
[01:11.47] Kwa jinsi
[01:13.46] Umenikamata
[01:14.95] Tena usinipege kiduchu
[01:30.73] Sugar sugar sugar
[01:31.73] My life is nothing without you
[01:32.46] Sugar sugar sugar
[01:33.22] Sugar sugar sugar
[01:33.99] Mmmh mmh
[01:45.21] Nikoleze my darling eh
[01:47.97] Na tukichoka tuka lale
[01:50.46] Wanasema hatari eh
[01:52.97] Lakini me nimekubari eh
[01:55.23] Kileleni ndo pale
[01:57.96] Basi tufike sare sare
[02:00.47] Shika ndizi mshare
[02:03.21] Nikuvue kama kambale
[02:05.98] Vile hawapumui
[02:08.48] Wakerekwa maadui
[02:10.22] Hao wanafki
[02:12.21] Watajua hawajui
[02:14.97] Ukiugusa mwili wangu
[02:17.47] Nashituka moyo paah
[02:21.00] Mpenzi wangu
[02:22.70] Nishike nisije nikapaa
[02:25.72] Kama mvua na mawingu
[02:26.97] Kama mwezi na anga
[02:28.98] Sina jambo
[02:32.99] Kwa jinsi umenikamata
[02:33.96] Tena usinipege kiduchu
[02:38.24] Sugar sugar sugar
[02:43.70] Sugar sugar sugar
[02:49.71] My life is nothing without you
[02:53.22] Sugar sugar sugar
[00:00.00] It’s over to you now!
