Siwezi
[00:11.57] Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
[00:17.94] Kumbe kuachwa inaumaga ivii
[00:22.99] Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
[00:28.83] Kumbe kuachwa ina umaga ivii
[00:34.68] Umeniumbua bora niseme
[00:37.87] Kiapo nilicho kula bora nikiteme
[00:40.52] Mapenzi shikamo sirudii tena
[00:45.57] Umepatwa na nini si useme
[00:49.02] Kinachokufanya we uniteme
[00:51.68] Mapenzi shikamo sirudiii tena
[00:56.75] Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
[01:02.33] Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[01:07.91] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:13.22] Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)
[01:18.54] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[01:23.85] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[01:41.66] Unanifanya mi nalewa sana
[01:44.35] Haipiti siku bila kugombana
[01:48.07] Mapenzi yako ya kibabe sana
[01:50.47] Malumbano ya mapenzi siyawezi
[01:53.12] Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana
[01:57.91] Mapenzi gani haya kutesana
[02:00.57] Wasi wasi wa mapenzi
[02:03.22] Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
[02:07.74] Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
[02:14.91] Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
[02:21.29] Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
[02:26.86] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:32.46] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
[02:37.50] Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
[02:43.88] Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
