Kwaheri
[00:00.04] "Kwaheri"
[00:01.90] Yeah..
[00:04.29] Uh huh
[00:09.34] Yeah..
[00:11.73] Uh huh
[00:13.85] Siku Mingi joh
[00:15.98] ..*..
[00:19.16] Yeah
[00:22.16] ..*..
[00:28.27] Kwaheri
[00:29.87] ..*..
[00:38.10] Kwaheri..
[00:39.43] Kwani nimewekewa madawa
[00:40.49] Siwezi kukuacha
[00:41.82] Kila mahali unaenda
[00:42.88] Ni nakufuata
[00:44.79] Siogopi kukuambia
[00:45.85] Mi nakupenda
[00:46.64] Watu wa wivu nao
[00:47.75] Zao ni kusemasema
[00:49.61] Huyo manzi alinipigia simu
[00:50.67] Mi hata simjui
[00:51.73] Mi nimekuwa studio
[00:52.53] Ati tulikuwa naye wapi juzi
[00:54.45] Hizo ni uwongo
[00:55.51] Na unajua
[00:56.64] Mlango yangu iko wazi
[00:57.70] We ukitaka kurudi nimeifungwa
[00:59.03] Unasema hapana
[01:00.94] Hapana..
[01:01.48] Huku ukilia
[01:02.54] Mi navumilia
[01:04.40] Mi nakazana
[01:05.73] Nakazana..
[01:06.80] After hii yote
[01:07.59] Siamini bado
[01:08.12] Unawezaniambia…
[01:09.48] Nakuaga mi kwaheri
[01:11.34] Nami ni..
[01:12.13] Nakutakia la heri
[01:13.73] Kukupenda
[01:15.06] Mi siwezi
[01:16.39] Jamani
[01:16.92] Mpenzi kwaheri
[01:19.31] Nakuaga mi kwaheri
[01:21.17] Nami ni..
[01:21.97] Nakutakia la heri
[01:23.82] Kukupenda
[01:24.94] Mi siwezi
[01:26.26] Jamani
[01:26.80] Mpenzi kwaheri
[01:28.65] Ninashughulika
[01:29.25] Kila kitu yangu
[01:30.31] Irudi fiti
[01:31.11] Vile ulipotea tu
[01:31.68] Watu mtaani
[01:32.47] Wakafikiria nimechizi
[01:34.07] Silali
[01:34.60] Kusema ukweli sikuli
[01:36.19] Kejani bana
[01:36.99] Hata siku hizi situlii
[01:39.12] Nipige makofi
[01:39.92] Labda naota
[01:41.24] Ama nikuache
[01:41.77] Pia mi naskia
[01:42.57] Ni kama nimechoka
[01:44.19] Kujitetea pali niko
[01:44.99] Au pali siko
[01:46.07] Nasi tumetupa
[01:47.13] Miaka sita hivyo
[01:48.73] Unasema hapana
[01:50.32] Hapana..
[01:50.90] Huku ukilia
[01:51.96] Mi navumilia
[01:53.82] Mi nakazana
[01:55.15] Nakazana..
[01:56.21] After hii yote
[01:57.01] Siamini bado
[01:57.80] Unawezaniambia…
[01:58.92] Nakuaga mi kwaheri
[02:00.78] Nami ni..
[02:01.31] Nakutakia la heri
[02:03.45] Kukupenda
[02:04.51] Mi siwezi
[02:05.84] Jamani
[02:06.64] Mpenzi kwaheri
[02:08.76] Nakuaga mi kwaheri
[02:10.62] Nami ni..
[02:11.42] Nakutakia la heri
[02:13.28] Kukupenda
[02:14.34] Mi siwezi
[02:15.67] Jamani
[02:16.47] Mpenzi kwaheri
[02:18.38] Hasira ni ya nini
[02:19.44] Bana tulia
[02:20.77] Biashara yetu bado
[02:21.84] Ni nimeishikilia
[02:23.43] Na nguvu yangu yote
[02:24.77] Naweza
[02:25.61] Pesa zako
[02:26.14] Kuna mali poa nimeiweka
[02:28.53] Unaweza chuna kadhaa
[02:29.86] Ukitaka
[02:30.66] Zile zitabaki
[02:31.72] Nunua nazo shamba
[02:33.58] Lazima tufikirie
[02:34.15] Maisha yetu ya mbele
[02:35.47] Sio kila siku
[02:36.54] Kelele
[02:37.33] Kelele..
[02:38.18] Tuki..wa na wewe
[02:40.31] Mambo yako
[02:41.10] Yenda kombo
[02:43.22] Japo
[02:43.75] Nisongeapo
[02:45.08] Matatizo
[02:45.88] Yako yakoma
[02:48.54] Nakuaga mi kwaheri
[02:50.13] Nami ni..
[02:50.94] Nakutakia la heri
[02:52.80] Kukupenda
[02:53.86] Mi siwezi
[02:55.46] Jamani
[02:55.99] Mpenzi kwaheri
[02:58.38] Nakuaga mi kwaheri
[03:00.24] Nami ni..
[03:00.77] Nakutakia la heri
[03:02.90] Kukupenda
[03:03.69] Mi siwezi
[03:05.29] Jamani
[03:05.82] Mpenzi kwaheri
[03:08.21] Nakuaga mi kwaheri
[03:10.07] Nami ni..
[03:10.86] Nakutakia la heri
[03:12.72] Kukupenda
[03:13.79] Mi siwezi
[03:15.11] Jamani
[03:15.65] Mpenzi kwaheri
[03:18.04] Nakuaga mi kwaheri
[03:19.91] Nami ni..
[03:20.71] Nakutakia la heri
[03:22.57] Kukupenda
[03:23.63] Mi siwezi
[03:24.96] Jamani
[03:25.76] Mpenzi kwaheri
[03:27.61] Tuki..wa na wewe
[03:29.74] Mambo yako
[03:30.53] Yenda kombo
[03:32.66] Japo
[03:33.19] Nisongeapo
[03:34.52] Matatizo
[03:35.58] Yako yakoma
[03:37.97] Nakuaga mi kwaheri
[03:39.83] Nami ni..
[03:40.36] Nakutakia la heri
[03:42.49] Kukupenda
[03:43.55] Mi siwezi
[03:44.88] Jamani
[03:45.41] Mpenzi kwaheri
[03:47.80] Nakuaga mi kwaheri
[03:49.66] Nami ni..
[03:50.46] Nakutakia la heri
[03:52.32] Kukupenda
[03:53.38] Mi siwezi
[03:54.71] Jamani
[03:55.50] Mpenzi
[03:56.03] Kwaheri..
[04:02.41] ..*..
