Lrc Player

Nikusaidiaje

Professor Jay
[04:56.78]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:04.20] "Nikusaidiaje"

[00:19.34] Feat. Ferooz

[00:23.59] Umesahau ulipotoka

[00:24.92] Hujui unapokwenda

[00:26.25] Ukapata kiburi

[00:27.31] Kuona mi nakupenda

[00:28.64] Nilikuthamini

[00:29.70] Na letu penzi kulienzi

[00:31.03] Na leo siamini

[00:32.14] Kama umenisaliti mpenzi

[00:33.47] Kumbuka nilikukuta

[00:34.58] Kijijini Sitimbi

[00:35.91] Umebeba mahindi

[00:36.97] Na furushi la magimbi

[00:38.30] Nguvu ziliniishia

[00:39.36] Mithili ya mfa maji

[00:40.69] Nafsi nayo ikakidi

[00:41.76] Kwamba kweli nakuhitaji

[00:43.08] Kigoli

[00:44.15] Mwenye umbo kama la mdoli

[00:45.74] Wala sikutaraji

[00:46.59] Ungepiga nami story

[00:48.25] Nilifurahi

[00:49.04] Kuweza kukufahamu

[00:50.37] Na nikakuahidi

[00:51.43] Subiri zangu salamu

[00:53.02] Kwa kuwa nilikwenda tu

[00:54.09] Kumtembelea bibi

[00:55.46] Yote yaliyojiri tu

[00:56.52] Kumweleza ilibidi

[00:57.85] Wote walishangaa

[00:58.91] Kusikia nataka mchumba

[01:00.24] Kwani vijana wengi

[01:01.04] Wa mjini tuna kasumba?

[01:02.64] Wakaweka kikao

[01:03.71] Niweze kutoa posa

[01:05.04] Niliapa kujiua

[01:06.10] Iwapo ningekukosa

[01:07.48] Walinikabidhi

[01:08.54] Nirudi nawe mjini

[01:09.60] Na nikakusisitiza

[01:10.93] Mjini kuwa makini

[01:11.99] Aah..

[01:12.57] Nafsi yangu nilikupa

[01:13.90] Uitunze mpenzi

[01:15.22] Anasa za jiji

[01:16.02] Zikakuchanganya

[01:17.68] Mapenzi ukasaliti

[01:18.75] Na ukanikana

[01:19.86] Ukaniacha

[01:20.66] Dunia ikiniandama

[01:22.52] Kuwa nawe tena

[01:23.32] Haitawezekana mpenzi

[01:24.92] Nshampata

[01:25.71] Ambae tumependana

[01:27.36] Majeraha makubwa

[01:28.16] Yajadui moyoni

[01:29.48] Mi' nimeshamuachia

[01:30.81] Maulana..

[01:31.61] Alikuwa mzuri

[01:32.67] Mithiri ya malaika

[01:34.05] Alipotua mjini

[01:35.13] Zubeda ni patashika

[01:36.72] Hakika alionekana

[01:37.52] Alikuwa mgeni wa jiji

[01:39.11] NIlipovua viatu

[01:39.91] Nilivikuta ndani ya friji

[01:41.50] Alifanya vibwenga

[01:42.56] Washikaji wakanicheka

[01:43.89] Hakutaka kitanda

[01:44.69] Alilala kwenye mkeka

[01:46.29] Alipokuwa akiona

[01:47.34] Magari alikimbia (he-he)

[01:48.71] Akimuona mtu kwenye TV

[01:50.04] Anamwamkia

[01:51.10] Kila alichofanya

[01:52.16] Alikuwa anakosea

[01:53.49] Nilimvumilia

[01:54.55] Kwa kuwa hajazoea

[01:55.88] Hakai kwenye sofa

[01:56.94] Alikuwa anakaa chini

[01:58.28] Mafuta ya kupikia

[01:59.33] Eti anayapaka mwilini

[02:00.93] Namnunulia soda

[02:01.72] Hataki, anataka togwa

[02:03.05] Nikimletea keki

[02:04.15] Hataki, anataka boga

[02:05.48] Majirani walimpenda

[02:06.55] Sababu ya uzuri wake

[02:07.88] Nasikitika mashangingi

[02:08.94] Wakawa rafiki zake

[02:10.54] Akaanza kunywa pombe

[02:11.60] Alipokwenda kusuka

[02:12.93] Usiku ananitoroka

[02:13.99] Tena kwa kuruka ukuta

[02:15.32] Nilipokuwa natoka

[02:16.65] Nae nyuma anatoka (yeah)

[02:17.71] Nikimtuma kitu

[02:18.77] Anadai eti amechoka

[02:20.37] Nikienda kazini

[02:21.16] Ndani analeta mabwana

[02:22.49] Magari ya kifahari

[02:23.82] Yakawa yanapishana

[02:25.15] Hakika starehe za dunia

[02:26.21] Zikamteka

[02:27.30] Na hatimaye hata nyumbani

[02:28.39] Pia akatoweka

[02:29.75] Aah..

[02:30.29] Nafsi yangu nilikupa

[02:31.63] Uitunze mpenzi

[02:32.69] Anasa za jiji

[02:33.75] Zikakuchanganya

[02:35.13] Mapenzi ukasaliti

[02:36.46] Na ukanikana

[02:37.52] Ukaniacha

[02:38.12] Dunia ikiniandama

[02:39.97] Kuwa nawe tena

[02:40.76] Haitawezekana mpenzi

[02:42.64] Nshampata

[02:43.43] Ambae tumependana

[02:44.76] Majeraha makubwa

[02:45.83] Yajadui moyoni

[02:47.15] Mi' nimeshamuachia

[02:48.29] Maulana..

[02:49.06] Nilipigwa na butwaa

[02:50.39] Mtaani walinishangaa

[02:51.45] Nilikosa raha

[02:52.24] Hata nafsi ilikata tamaa

[02:54.10] Sikujua huyu binti

[02:55.20] Ni mzima au amekufa

[02:56.56] Ilibidi niombe watu

[02:57.60] Msaada wa kumtafuta

[02:58.95] Kumbe anaonekana

[03:00.02] Viwanja vya kila aina

[03:01.35] Leo yupo na mzungu

[03:02.41] Na kesho yupo na Mchina

[03:03.79] Nilipata shahuku

[03:04.84] Ya kutaka japo kumuona

[03:06.22] Ingawa niliamini

[03:07.28] Moyoni ingenichoma

[03:08.61] Kweli tulimtafuta

[03:09.74] Kwenye kumbi tofauti

[03:11.08] Ili nihakikishe

[03:12.15] Kweli hajapatwa na mauti

[03:13.74] Nikamkuta Casino

[03:14.54] La Wadachi

[03:15.07] Na Walatino

[03:15.88] Akigonga mvinyo

[03:17.21] Wa hashipapi, hashipinyo

[03:18.55] Pechie chipinyo

[03:19.38] Na pamba za mandarino

[03:20.73] Macho yalinitoka

[03:21.79] Mithiri ya zingonginyo

[03:23.12] Hakika alipendeza

[03:24.20] Kwa staili alizocheza

[03:25.52] Naye kila aliyemtazama

[03:26.59] Alitamani kumchombeza

[03:28.19] Kwa pozi na dharau

[03:28.99] Alijifanya amenisahau

[03:30.33] Wakaniona takataka

[03:31.40] Mbele ya washikadau

[03:32.72] Ilibidi niondoke

[03:33.79] Machozi yakinilenga

[03:35.14] Shetani kashanitega

[03:36.19] Na tunda langu kamega

[03:37.79] Akapata mimba

[03:38.85] Aliyempa hakumtambua

[03:40.18] Na wote aliowafata

[03:41.24] Eti wakakana kumjua

[03:42.37] Zubeda na mimba yake

[03:43.43] Hakuwa na pakuishi

[03:44.78] Hakujua ale nini

[03:46.11] Na vipi apate ridhiki

[03:47.44] Ghafla hifadhi yake

[03:48.51] Ikawa ni stendi ya basi

[03:49.83] Siku nyingine mvua

[03:50.67] Ilimnyeshea kupita kiasi

[03:52.26] Akarudi nyumbani

[03:53.32] Eti arudiane nami

[03:54.65] Kurudi kwao hataki

[03:55.71] Mi n'na familia ndani

[03:57.05] Aah..

[03:57.64] Nafsi yangu nilikupa

[03:58.71] Uitunze mpenzi

[04:00.05] Anasa za jiji

[04:00.84] Zikakuchanganya

[04:02.44] Mapenzi ukasaliti

[04:03.50] Na ukanikana

[04:04.56] Ukaniacha

[04:05.36] Dunia ikiniandama

[04:07.22] Kuwa nawe tena

[04:08.28] Haitawezekana mpenzi

[04:09.87] Nshampata

[04:10.67] Ambae tumependana

[04:12.26] Majeraha makubwa

[04:13.06] Yajadui moyoni

[04:14.39] Mi' nimeshamuachia

[04:15.78] Maulana aah..

[04:23.75] ..*..