Lrc Player

Mbosso khan ft Diamond platinumz

Mboss
[03:29.50]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:03.57] Yataniua

[00:06.76] MBOSSO Feat. DIAMOND PLATNUMZ

[00:08.10] Yataniua Lyrics

[00:19.54] Ni nini hiki mbona chanizuzua

[00:22.72] Nini hiki mbona chanisumbua

[00:26.45] Nakaribia kuzalilika

[00:30.20] Nakaribia kuzalilika

[00:33.91] Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu

[00:38.17] Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu

[00:41.89] Gharama mapenzi gharama

[00:46.14] Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama

[00:50.65] Gharama mapenzi gharama

[00:54.37] Na nidonda sugu halitibiki ukishazama

[00:58.91] Unamuamini nakuzani ndugu yako

[01:03.68] Kumbe kijini ndio baby wa baby wako

[01:07.67] Mapenzi yataniua

[01:10.59] Bora nitafute pesa nianze jishaua

[01:14.57] (Niwe happy now)

[01:16.70] Mi mahaba yataniua (yatani kill)

[01:20.15] Bora nitafute pese nianze jishaua

[01:23.60] Nikizipata ni

[01:26.25] Mitungi mitungi mitungi

[01:28.91] Mitungi mitungi mitungi

[01:31.30] Mitungi mitu tu

[01:33.96] Mitungi mitungi mitungi

[01:36.63] Mitungi mitungi mitungi

[01:39.53] Mitungi mitungi

[01:41.93] Na watakoma aisee hili party

[01:43.53] Nyama choma ashjee ashe

[01:46.18] Miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje

[01:50.70] Na watakoma aisee hili party

[01:53.08] Nyama choma ashjee ashe

[01:54.95] Miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh

[01:58.13] Nipite na kila mtu

[01:59.46] Hadi we, hadi we

[02:01.62] Hadi we, hadi wewe

[02:03.74] Hadi we, hadi we

[02:05.60] Hadi we, hadi wewe

[02:07.46] Eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako)

[02:12.51] Si unapenda kampende dada ako (aah dada ako)

[02:14.63] Kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako)

[02:18.88] Si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako)

[02:25.82] Mapenzi yataniua (yatanikill)

[02:29.27] Bora nitafute pesa nianze jishaua

[02:32.72] (Niwe happy now)

[02:34.06] Mi mahaba yataniua (yatani kill)

[02:37.25] Bora nitafute pese nianze jishaua

[02:40.95] Nikizipata ni

[02:42.29] Mitungi mitungi mitungi

[02:44.69] Mitungi mitungi mitungi

[02:47.91] Mitungi mitu tu

[02:51.08] Mitungi mitungi mitungi

[02:53.74] Mitungi mitungi mitungi

[02:56.94] Mitungi mitungi

[02:59.58] Gharama mapenzi gharama

[03:04.10] Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama

[03:07.81] Gharama mapenzi gharama

[03:12.06] Na nidonda sugu halitibiki ukishazama

[03:16.58] Hadi we, hadi we

[03:19.77] Hadi we, hadi wewe