Lrc Player

Mwenyewe

Harmonize
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:19.56] Tisin na nne march fifteen

[00:21.80] Begin of my world

[00:25.54] Nilipozaliwa nikadondoka chini

[00:27.80] Hakukua na kitanda kwa word

[00:31.81] Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro

[00:34.81] Na kilichonikusa mihogo na viporo

[00:37.79] Nilipolekwa shule ila bado nikawa mtoro

[00:41.05] Kingereza nlichokalili labda tomorrow ama today

[00:46.05] Zikafika time ya kubalehe

[00:48.30] Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi

[00:53.80] Ni ujinga

[00:56.05] Nikadondokea umachinga

[00:58.05] Hapakuchi panakucha siku zikasogea

[01:00.56] Pruuh mpka darsalaama nikaanza jitegemea

[01:04.54] Nyumbani baba na mama wakiniombea

[01:07.30] Mwanetu nenda salama na ukipata lejea

[01:11.04] Mmh na ukipata

[01:13.30] Hapo akili ndo ikaanza kukomaa

[01:16.29] Na nikajuta kwann sikusomaa

[01:19.54] Jinsi jua la utosi linavyochoma

[01:22.56] Na usiku baridi ilanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh

[01:29.56] Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa

[01:35.80] Kwa ajili ya vitu vidogo sigomban na maselaa

[01:42.05] We kubali kudharauliwa

[01:44.29] Kukataliwa

[01:45.80] Kupata majaliwa

[01:47.31] Kula kinacholiwa

[01:48.56] Mwenyew

[01:51.06] Raha jipe mwenyewe

[01:52.56] Basi kamata chupa fungua na mimina

[01:55.05] Mwenyewe raha jipe mwenyew

[01:58.30] Lewa tukuone unavyochеza kichina

[02:01.30] Mwenyewe raha jipе mwenyewe

[02:05.30] Anaekupenda zaidi ni wewe

[02:08.05] Mwenyew raha jipe mwenyewe

[02:11.81] Ata anaekujua zaidi ni wewe

[02:14.31] Mwenyewe raha jipe mwenyewe

[02:24.55] Masikini na wanawe tajiri na mali zake

[02:27.55] Hasie na shida nawe mwache aende zake

[02:30.54] Husibweteke na ulicho nacho

[02:33.30] Pia husiteseke kwa walicho nacho

[02:36.31] Ridhiki mafungu saba pengine leo zam ya sita

[02:40.06] Kaza moyo epusha roho yakusita

[02:43.06] We umezaliwa peke yako

[02:44.55] Utakufa peke yako

[02:46.30] Na utazikwa peke yako

[02:49.31] So usiwaeleze shida zako

[02:51.29] Ukizani ndugu zako kumbe wabaya wako

[02:54.80] We komaaa

[02:56.29] Mwenyewe raha jipe mwenyew

[02:59.55] Basi kamata chupa fungua na mimina

[03:02.31] Mwenyewe raha jipe mwenyewe

[03:06.04] Lewa tukuone unavyocheza kichina

[03:08.80] Mwenyewe raha jipe mwenyewe

[03:12.79] Anaekupenda zaidi ni wewe

[03:15.30] Mwenyewe raha jipe mwenyewe

[03:19.04] Ata anaekujua zaidi ni wewe

[03:21.55] Mwenyewe raha jipe mwenyewe alright, alright, alright

[03:30.80] Yo-yo