Lrc Player

Champion (feat. Nay Wamitego)

Kontawa
[03:26.89]·Synced by Haidar Ntaka·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:07.78] Jam on the beat

[00:09.28] Eeh

[00:10.02] Oya mitaa niliotoka police wanauza gongo

[00:12.79] Ata uwe mkweli huwezi ishi bila uwongo

[00:15.28] Mlo mmoja na bado tulibeba nondo

[00:17.78] Na maisha yakasonga tuu

[00:19.78] Eh ili sabuni zisiishe si tulinyoa madongo

[00:23.03] Tukala maharage hadi tukawa wachezaji na ndondo

[00:25.52] Oya si tumetokea bongo na maisha yanasonga tu

[00:30.77] Nishazika wanangu nilowapenda

[00:33.54] Ukija mtaani kwangu kutwa diffenda

[00:36.04] Kukimbizana january mpka December

[00:40.78] chumba kimoja wanalala dada na kaka

[00:43.54] Watu hawatupi msosi ata ukichacha

[00:46.07] Baba jambazi mtoto anajiuza mtaani

[00:48.52] Mama mchawi nyumban atabaki nani

[00:50.53] Aweee am the winner

[00:55.54] Am the champion

[01:00.78] Awee am the winner

[01:05.77] Am the champion

[01:10.02] Eh tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu

[01:16.26] Tumeishi na watu wanaoamini sikukuu ndo siku yakuchinja kuku

[01:21.28] Tumeishi na watu ambao wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku

[01:26.55] Tukaishi na watu ambao wanaamini kwamba bahati bahati zote alipangiwa bukuku

[01:31.28] Hapo mwanzoni waliamin hatutopata mafanikio

[01:34.52] Waliotufagilia wakauza mafagio

[01:37.76] Mtaani kwetu sio

[01:39.78] mtu alietoboa sana alitoboa sikio

[01:42.28] chumba kimoja wanalala dada na kaka

[01:44.77] Watu hawatupi msosi ata ukichacha

[01:47.27] Baba jambazi mtoto anajiuza mtaani

[01:49.77] Mama mchawi nyumban atabaki nani

[01:52.05] Aweee am the winner

[01:56.76] Am the champion

[02:02.02] Awee am the winner

[02:07.03] Am the champion

[02:09.78] Champion champion

[02:12.28] Huu wimbo unanikumbusha mbali

[02:13.77] Kiipindi naitwa ima

[02:15.03] Dharau kejeri manyanyaso ka yatima

[02:17.29] Na hvyo ndo vimenikomaza mpaka leo

[02:19.51] Nimesimama

[02:20.52] I thanks God kwa hii power na heshima

[02:22.52] Nishatembea kwa miguu toka manzese mpaka temeke

[02:25.53] Kuomba nafasi yakuimba na bado nayo nisipate

[02:27.78] Dharau zao na manyanyazo

[02:29.27] Zilifanya tamaa nisikate

[02:30.53] Dah pumzi inakata koo linakauka

[02:32.03] Na bahati mbaya ata mdomon sina mate

[02:35.54] Nkapiga moyo konde nikamuomba Mungu niongoze

[02:38.02] Nanikaweka nia kwamba

[02:40.03] Mziki utanilisha

[02:40.78] mziki utanivisha

[02:41.78] Mziki utanitajirisha

[02:43.03] Maisha ya zamani hayafanani nayasasa

[02:46.04] Nishasota sana acha tu nile bata

[02:48.27] Madili mengi sikuhzi nasign angani

[02:50.77] Naitwa rais wa kitaa napenda mtaani

[02:53.06] Aweee am the winner

[02:58.03] Am the champion

[03:00.79] Champion champion

[03:03.53] Awee am the winner

[03:08.28] Am the champion

[03:11.02] Champion champion