Lrc Player

Pita huku

Dulla makabila
[04:58.07]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:31.21] We mama mtu mzima ndoa ingekupa heshima

[00:39.21] Ila kutwa mitandaoni ulidate na vitoto

[00:44.72] Unadai mmeo ana kitambi hawezi kupeleka moto

[00:49.72] Aaah we mama pita huku

[00:57.21] Uliaminiwa na kanisa ukaongoza kila misa

[01:02.96] Ila ulijiona Mungu mtu kisa una pesa sana

[01:07.71] Uliamini ushirikina na kula kondoo wa bwana

[01:13.46] Mchungaji pita huku

[01:20.21] Kutwa ulitukana hujachokozwa unagombana

[01:25.22] Yani unalewa mpaka unajikojolea

[01:31.46] Ila suala la sadaka ulikuwa unajitolea

[01:37.21] We mlevi pita huku

[01:44.21] Najua umekata tamaa ndo maana nakuona umeshika tama

[01:49.96] Najua umekata tamaa ndo maana nakuona umeshika tama

[01:55.96] Yani kazi yako Udj hilo halipingiki

[02:00.46] Ila kila ulipofika muda wa ibada ulizima mziki

[02:05.96] We DJ pita huku

[02:12.47] We kwanza una laana chumbani kwako kuna mafuta kila kona

[02:18.47] Unapenda kwa mpalange

[02:21.22] Mtume hataki hata kukuona

[02:23.46] Aaah we shoga pita huku

[02:30.21] Nikikutazama unatia huruma maana naona hutoboi

[02:33.21] Ushawatoa mina na zena na ulivyo fundi hukosei

[02:41.71] Nawe dokta pita huku

[02:45.46] Yani kufumba kufumbua ukajiona umefika

[02:51.21] Sheria ukaipindisha masikini ukawakomesha

[02:57.21] Na ukanenepa kwa rushwa

[03:01.21] We hakimu pita huku

[03:08.22] We mtoto wa kike ila nawe una demu

[03:12.71] Na mademu wanakuita shemu

[03:14.96] Aaaah inauma sana

[03:17.71] Hata baba na mama hawataki hata kukuona

[03:21.46] Maisha yako yote laana hauna mashine ila kazi tu kusagana

[03:26.96] Tom Boy pita huku

[03:34.46] Malaya unafanya mtu anatelekeza mpaka familia

[03:39.47] Ada ya watoto wake ikifika kwako unakoga bia

[03:45.72] Yani kudanga bongo huridhiki unaenda uturuki

[03:49.96] Unakunywa vidonge hata mimba hushiki

[03:52.71] Mbele ya shemeji zako unapita na kanga

[03:59.47] Malaya ukiamua lako unampa mpaka mganga

[04:05.96] We malaya pita huku

[04:12.21] Mchawi unafanya watu wanafukuzwa kazi

[04:15.26] Wengine unawauwa kwa kuwapa maradhi

[04:17.96] Mchawi unawaachanisha mpaka wapenzi

[04:20.96] Mchawi unawanyima watu usingizi

[04:23.71] Mchawi oooh nakosa cha kuongea usiku unageuka paka mabati unarukia

[04:29.46] Mchawi unaua mtu anaacha familia msibani unatokea unalia hadi unazimia

[04:34.96] Mchawi ndo chanzo cha umasikini unapita kwenye pembe hivi milango huioni

[04:41.46] Na uchawi mkaupeleka usafini Yani Lavalava hata aimbe vipi haonekani

[04:49.21] We mchawi pita huku

[00:00.00] TAGS