Asali
[00:01.32] JrLkSr
[00:20.70] Kama kulia nitalia na yeye
[00:22.57] Kucheka nitacheka na yeye
[00:25.48] Kuimba nitaimba na yeye
[00:28.15] Ni fuhara
[00:30.54] Kuteseka nitateswa na yeye
[00:32.94] Aaahh akisababisha yeye
[00:35.87] Stress akinipa yeye ni sawa
[00:40.91] Hata dunia aah iumbwe upya
[00:45.43] Mimi nitakupenda mpaka mwisho
[00:51.01] Hata dunia aah iumbwe upya
[00:55.80] Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho
[01:01.12] Hata uende mbali ooh
[01:03.49] Mbali asali yangu mi hodari
[01:09.08] Hodari hodari
[01:11.99] Hata uende mbali ooh
[01:13.59] Mbali asali
[01:16.78] Asali yoo wangu
[01:19.71] Hodari oooh
[01:22.09] Tarara tata raa
[01:23.96] Tarara talanta tarara
[01:27.15] Ta raa tarara tataraa
[01:29.82] Tarara tata raaa
[01:32.20] Talanta tata talanta
[01:35.13] Tarara tata raa
[01:38.58] Tarara talanta taraaah
[01:53.18] You are my enjoy pretty pie
[01:55.58] Raha tu unazonipa we umesababisha mi kichaaa
[01:58.51] Kama ni dawa niambie tu
[02:05.67] Maana mi presha juu yako tu
[02:08.60] Ni wewe tuu, ni wewe tuu
[02:13.65] Hata dunia aah iumbwe upya
[02:18.16] Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho
[02:23.46] Hata dunia aah iumbwe upya
[02:28.52] Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho
[02:34.11] Hata uende mbali ooh
[02:36.77] Mbali asali yangu mi hodari
[02:41.56] Hodari hodari
[02:44.49] Hata uende mbali ooh
[02:46.88] Mbali asali
[02:49.81] Asali yoo wangu
[02:52.98] Hodari oooh
[02:54.84] Tarara tata raa
[02:57.49] Tarara talanta tarara
[03:00.18] Ta raa tarara tataraa
[03:02.56] Tarara tata raaa
[03:05.21] Talanta tata talanta
[03:08.14] Tarara tata raa
[03:10.53] Tarara talanta taraaah
[03:16.38] Amore mon chéri
[03:21.69] Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah, kahbulah
[03:26.74] Amore mon chéri (mon chéri)
[03:31.78] Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah
