Lrc Player

Diamond platiinumz Yatapita

Diamond platinumz
[04:59.45]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:22.34] Yatapita yana mwisho

[00:28.08] Ipo siku tutayasahau

[00:30.58] Watatuheshimu walio tudharau

[00:33.08] Kaza moyo, nivumilie

[00:38.83] Amini tutayasahau

[00:41.08] Watatuheshimu walio tudharau (Wote)

[00:44.58] Na ntakununulia (Vyote)

[00:47.08] Mawigi na simu (Vyote)

[00:49.84] Ntakuzawadia (Vyote)

[00:52.06] Pochi zenye thamani (Vyote)

[00:54.82] Nawe uende waringishia (Vyote)

[00:57.31] Utembee kwa uskani (Vyote)

[01:00.03] Na vioo ukiwafungia (Vyote)

[01:02.96] Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho

[01:08.47] Amini fungu letu laja haliko mbali

[01:13.60] Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso

[01:19.24] Baby mitihani kawaida usijali, mnh!

[01:25.71] Kidogo nnachokuletea usinune pokea

[01:31.49] Nipate moyo nifariji

[01:36.21] Na juhudi naziongezea usichoke niombea

[01:42.49] Molah atubariki zaidi

[01:45.69] Mungu kakupa sura kakupa shepu

[01:48.69] Nyuma chura mambo yetu

[01:51.45] Mwana wa sanura, mwenzako mimi I love you

[01:56.45] Umeniteka medula niko fyetu

[01:59.44] Akili haina ndala iko peku

[02:02.19] Umenivurura, mwenzako mimi I love you

[02:06.96] Ooh nivumilie

[02:09.19] Yatapita yana mwisho

[02:14.70] Ipo siku tutayasahau

[02:17.19] Watatuheshimu walio tudharau

[02:19.94] Kaza moyo, nivumilie

[02:25.45] Amini tutayasahau

[02:27.69] Watatuheshimu walio tudharau (Wote)

[02:31.20] Na ntakununulia (Vyote)

[02:33.69] Mikufu na simu (Vyote)

[02:36.44] Ntakuzawadia (Vyote)

[02:38.95] Pochi zenye thamani (Vyote)

[02:41.22] Nawe uende waringishia (Vyote)

[02:43.94] Utembee kwa uskani (Vyote)

[02:46.91] Na vioo ukiwafungia (Vyote)

[02:49.38] Ooh Baby

[02:51.13] Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama

[02:56.62] Liliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh!

[03:01.77] Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana

[03:07.50] Nyumba haijengwi kwa vita hasira

[03:12.24] Kwenye macho yako nikiyatazama

[03:15.00] Naiona huruma yako mama

[03:18.00] Changamoto maana kuna muda unakata tamaa

[03:22.99] Nanoa kisu hatuli nyama

[03:25.74] Na kodi lundo zatuandama

[03:28.75] Riziki zama kwa zama

[03:30.21] Ya kwetu kesho ya kwao ni jana

[03:33.47] Kidogo nnachokuletea usinune pokea

[03:39.72] Nipate moyo nifariji mnh!

[03:44.22] Na juhudi naziongezea usichoke niombea

[03:50.46] Molah atubariki zaidi

[03:52.68] Yatapita kipenzi changu

[03:55.64] Yatapita yana mwisho

[04:01.39] Ipo siku tutayasahau

[04:03.64] Watatuheshimu walio tudharau

[04:06.39] Kaza moyo, nivumilie

[04:11.62] Amini tutayasahau

[04:14.37] Watatuheshimu walio tudharau (Wote)

[04:17.57] Na ntakununulia (Vyote)

[04:20.32] Mawigi na simu (Vyote)

[04:22.83] Ntakuzawadia (Vyote)

[04:25.10] Pochi zenye thamani (Vyote)

[04:28.07] Na wewe uende waringishia (Vyote)

[04:30.58] Utembee kwa uskani (Vyote)

[04:33.15] Na vioo ukiwafungia (Vyote)

[04:46.89] Mungu kakupa sura kakupa shepu

[04:49.86] Nyuma chura mambo yetu

[04:52.61] Mwana wa sanura

[04:54.87] Mwenzako mimi I love you