Lrc Player

Safari

Papa Wemba
[03:42.10]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:16.48] Maji yangu ya macho imenitoka na huruma

[00:24.83] Kwa kuona watu wawili wanakabulana

[00:32.18] Mwengine 'naenda, mwengine 'nabaki ya huruma

[00:38.78] Juu ya safari

[00:43.10] Safari oh, safari

[00:46.41] Umeumiza moyo

[00:51.99] Uende, uende ndugu

[01:00.35] Kisha masiku kwa nguvu ya mola

[01:07.70] Tutaonana tena

[01:21.69] Mimi leo naenda tumelakana na we'

[01:29.57] Nikishafika ntakutumia mukanda

[01:37.69] Kwakukujulisha nimefika mzima

[01:43.74] Safari, eh

[01:48.02] Safari eh, safari

[01:51.32] Umeumiza moyo

[01:56.92] Uende, uende ndugu

[02:05.28] Kisha masiku kwa nguvu ya mola

[02:12.60] Tutaonana tena

[02:40.94] Watu wengine wanasafiri kwa ndege

[02:48.53] Watu wengine wanasafiri kwa mashua, ah-ah

[02:56.40] Watu wengine wanasafiri kwa gari

[03:04.28] Watu wengine wanasafiri kwa miguu, uh-uh

[03:11.84] Safari, safari

[03:19.47] Safari, safari

[03:27.30] Safari, safari