Harmonize - Nitaubeba
[00:21.12] Imagine uko jangwani umepotea
[00:24.05] Mchana juani unatembea
[00:26.70] Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
[00:31.75] Mara ngamia mbebaji akatokea
[00:34.68] Na kukushusha mzigo uliokuelemea
[00:37.33] Upate afadhali pole na safari
[00:41.58] And thats why today
[00:43.17] To me yote tisa ila kumi
[00:46.36] Umeonesha maana ya upendo
[00:49.02] Si kwa maneno bali kwa vitendo
[00:51.94] Umeridhika na nilichonacho
[00:54.59] Vya watu hutoleagi macho
[00:57.25] Siku nikiwa sina twalala
[01:00.44] Oooh baby twalala
[01:03.10] Aaaah baby if I close my eyes
[01:06.54] Mi namuomba Mungu akulinde
[01:08.67] Na akusimamie we ndo
[01:11.07] Pacha wangu mie
[01:14.53] Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[01:17.19] Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[01:19.31] Niko busy na boo jamani nimeshasema
[01:22.24] Niko busy na baby na msalaba wake
[01:24.89] Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[01:32.86] Na ntafika nao kiume
[01:35.51] Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[01:38.17] Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[01:42.95] La kwako ndo langu my darling
[01:44.29] Na ntafika nao kiume
[02:07.93] Imagine hujifahamu
[02:09.51] Umezimia umewekewa damu zinaingia
[02:13.23] Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
[02:18.55] Mara dakitari wa zamu
[02:20.41] Akaingia umepata fahamu unamwangalia
[02:23.86] Machozi yanakuanguka unatamani funguka
[02:28.11] And that's why today to me
[02:30.50] Yote tisa ila kumi unanifurahisha
[02:34.22] Kwenye tendo
[02:36.08] Au unipe penzi la magendo
[02:38.74] Aaaah baby if I close my eyes
[02:42.19] Mi namuomba Mungu akulinde
[02:44.58] Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
[02:50.43] Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[02:52.82] Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[02:55.47] Niko busy na boo jamani nimeshasema
[02:58.13] Niko busy na baby na msalaba wake
[03:00.78] Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[03:08.75] Na ntafika nao kiume
[03:11.67] Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[03:14.86] Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[03:18.58] La kwako ndo langu my darling
[03:20.71] Na ntafika nao kiume
[03:45.41] Iwe kwenye shida na raha
[03:47.54] Ama kwenye shibe na njaa
[03:50.19] La kwako ndo langu my darling
