Tamu
[00:19.90] Wasafi Records… Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo Mususu ya soro
[00:26.68] ndombolo Na bando letu la buku Twapeluzi mpaka tommorrow Mambo iko
[00:31.45] huku Penzi twalila kwa solo Hmmm Anipelekesha msobe msobe Kama fuso
[00:36.73] lapanda mlima Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe Simpi dusko
[01:32.08] nzima nzima (aah) Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho Yata wa
[01:34.09] toka mapunye Mumwe kwashakoo Tena wavimbe na wanune ishakua yako
[01:36.85] Itafune imung'unye ifike kunako ooh baby Kushika kiuno (tamu) Niku
[01:39.36] chumu chumu (tamu) Niki kukumbatiaa (tamu) Tamu kolea Penzi letu baby
[01:40.87] (tamu) Yani mpaka kisogoni (tamu) Torororoo (tamu) Tamu kolea Baby
[01:42.62] tufanye wazi wazi watuone Picha weka DP na makopa kopa caption Baby
[01:46.39] walokosa kazi wanong'one Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen Waambie
[01:50.65] vimberu mberu Sio penzi la mashaka Tusha soma dua kusitirika Kwa
[01:52.66] wenye macho ya paka Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
[01:54.16] Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka Steel wire ananisugua (
[01:55.92] Kwa makovu kovu) Hanaga mbaya laazizi (
[01:57.68] Show mbovu mbovu) Tena fundi mwaya Kazi anaijua (
[01:59.18] My love love) Haijawahi kupwaya yani kiivi Mukoroge sumu mnywe kwenye
[02:00.20] vijiba vya roho Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo Tena wavimbe na
[02:06.47] wanune ishakua yakoo Itafune imung'unye ifike kunako ooh baby Kushika
[02:08.23] kiuno (tamu) Niku chumu chumu (tamu) Niki kukumbatiaa (tamu) Tamu
[02:10.23] kolea Penzi letu baby (tamu) Yani mpaka kisogoni
[02:13.49] (tamu) Torororoo (tamu) Tamu kolea Ebo baby mtoto kakua (
[02:18.26] Kasima dede) Nimtazame (
[02:19.77] Kasimama dede) Mwana anatembea (
[02:21.53] Kasimama dede) Yani tee tee Anataka aking'ate (
[02:23.53] Kasimama dede) Kaona kitumbua (
[02:26.30] Kasimama dede) Amekua baba
