Nairobi
[00:05.21] Heh? Hehehe
[00:07.33] Hmm-haha, maajabu (woo!)
[00:11.06] Suda!
[00:13.72] Habari mbaya zimenifikia
[00:16.11] Mandugu zangu wananikulia
[00:19.86] Kumbe sahani yangu ni sinia
[00:24.37] Na inaniuma sana
[00:26.76] Yule mpenzi niliaminia
[00:30.78] Nikamueka mbele ya dunia
[00:34.25] I must be trippin' nikikurudia
[00:37.73] Umenitesa sana
[00:41.45] Nairobi
[00:43.59] Yule anakupea, pia ananipea
[00:45.43] Akikuletea, ananiletea
[00:51.02] Wanakula fare
[00:52.61] Sote tuna-share
[00:54.25] Ogopa sana
[00:56.11] Nairobi
[00:57.70] Yule anakupea, pia ananipea
[01:01.42] Akikuletea, ananiletea
[01:04.36] Wanakula fare
[01:06.74] Sote tuna-share
[01:08.86] Ogopa sana, mama
[01:11.25] Woi-yoo
[01:17.10] Motherfuckers gon' kill me in this bitch, yeah, yeah
[01:25.60] Marashi yako yalinivutia
[01:29.31] Siku ya kwanza ulipopitia
[01:32.23] Kumbe sii mi pekee nilinusia
[01:37.01] Yolanda ya Lavender
[01:40.47] Na mbogi yangu iliniambia (walini-show)
[01:43.91] Eti nikusare but sikusikia (sikusikia)
[01:47.10] I don' wanna do this shit no more, my dear
[01:50.82] Najuta kupendana
[01:53.22] Nairobi (woyo-yoyo)
[01:56.39] Yule anakupea, pia ananipea
[01:59.32] Akikuletea, ananiletea
[02:02.81] Wanakula fare
[02:05.48] Sote tuna-share
[02:06.81] Ogopa sana
[02:08.41] Nairobi
[02:10.01] Yule anakupea, pia ananipea
[02:13.46] Akikuletea, ananiletea
[02:16.91] Wanakula fare
[02:18.79] Sote tuna-share
[02:20.65] Ogopa sana, mama
[02:23.84] Gonga (gonga) gonga like
[02:27.55] Gonga (gonga) gonga like, yeah
[02:31.54] Gonga (gonga) gonga like
[02:34.75] Okonkwo (gonga)
[02:36.60] Yo (gonga like, yeah)
[02:38.99] Rieng? (Yeah) Radar?
[02:39.79] Siku hizi madem ni blunder
[02:41.92] Jana cuzo alimkaza
[02:44.04] He's family, ah-ah
[02:45.37] Get together kwa bed
[02:47.22] Hio story tumekataa
[02:48.82] Ma-boy wengine blunder
[02:50.68] Watakukulia mama (weh)
[02:52.29] Na wakuchekeshe sana
[02:53.90] Madame madem, eh (hmm)
[02:55.77] Madame wa siku hizi
[02:57.62] Wana machali wengi
[02:59.21] Nilichapa mmoja juzi
[03:00.83] Ikaingia ndani, dive
[03:06.18] Nairobi (woyo-yoyo)
[03:08.56] Yule anakupea, pia ananipea (yule)
[03:12.02] Akikuletea, ananiletea
[03:15.74] Wanakula fare
[03:17.07] Sote tuna-share
[03:18.92] Ogopa sana
[03:20.53] Nairobi
[03:22.38] Yule anakupea, pia ananipea
[03:25.84] Akikuletea, ananiletea
[03:28.78] Wanakula fare
[03:31.16] Sote tuna-share
[03:33.02] Ogopa sana, mama
