Lrc Player

Mukuchu

Don tha boy
[03:43.14]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:12.43] Secure the bag wacha kelele mboka ni genje

[00:16.16] Usiku silali saka hio mukuchu mpaka walete

[00:19.35] Master jipange saru wa bong wakonde ni nono yoh

[00:22.81] Niite Dangote steps napiga lazima niOse Hii si rahisi vile rapper unahisi

[00:27.35] Ata bila ofisi bado G mwenye kiti

[00:29.21] Hizi bars, mi mtukutu rahisi, ulimi risasi sioni haja ya kisu

[00:32.42] Nilitoa hasara uyo mama ndio baba alitoka moshadha ndio kesho iwe better

[00:35.87] Haba na haba najaza kibaba nasaka nipate ya mkate na butter huh

[00:40.14] Snow boy adi nataka paper, Mama rest mi a go getter

[00:43.34] I know friends who became haters, Tuna itrust home but I want paper

[00:46.78] Marafiki wanafiki wapigwe rungu, wanyongwe na chuki wakuwe bubu

[00:50.00] Madreco mad munga toa kifungu, ama nitoe kafara nijenge Kamulu yoh

[00:54.24] Anything me I do it, man I do it fi de paper

[00:57.43] Kila mi nafanya, ninafanya ju ya mukuchu

[01:00.61] Anything me I do it, man I do it fi de paper

[01:04.06] Kila mi nafanya, ninafanya ju ya mukuchu

[01:07.52] Ayy, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu

[01:10.70] Ayy, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu

[01:14.16] Nawaitisha sadaka ni Ka pastor Ng'anga

[01:16.02] Fujo ntaleta wakitaka kung'ora

[01:17.60] Usiku, mchana kwa studio nakesha

[01:19.46] Na preach ikibidi waskize hii banger

[01:21.06] Kama mboka inalipa nafanya, Msupa fine akijipa nafinya

[01:24.51] Enjoy hii flow kabla ufike sabini na ikizama kwa boot ujue Nani nahodha yoh

[01:27.97] Flow tight than nana mavirgin, Hii si uchawi ni gift toka heaven

[01:32.22] Mziki kazi nayo 24/7, I'm lyrically fit tunaeza fanya aerobics

[01:35.40] Sidai Kiki na sibahatishi, rahisi nikishika mic

[01:38.86] Flow zangu hazishikiki yaani kama Isa nyi hamunitishi

[01:42.33] Ka risasi, don mi nalenga, Hii shilingi kwangu ndio agenda

[01:45.78] Mi sibongi Sana mi hutenda, I'm business minded wapi tender

[01:49.22] Ya Mungu ni mengi, ya kuku mayai, ya pedi ni bangi

[01:51.61] Shukuru uko hai, si tuko high 45 Githurai

[01:54.26] Na kichwani sent get rich or die aah fuck man

[02:01.97] Anything me I do it, man I do it fi de paper

[02:05.68] Kila mi nafanya, ninafanya ju ya mukuchu

[02:08.87] Anything me I do it, man I do it fi de paper

[02:12.33] Kila mi nafanya, ninafanya ju ya mukuchu

[02:15.51] Ayy, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu

[02:17.91] Ayy, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu, mukuchu

[02:19.52] Yoh listen, yoh, yoh, yoh

[02:23.24] Si ndio wababaz kanairo maluku Tu, mad Munga makututu

[02:26.71] Obtainer, Soweto, Mukuru, as if Masamusa uku ni mbukutu

[02:30.17] Corona ilimsare ako na flu, still she's dripping hio Nunu

[02:33.08] Tulifuse fluids zikafude, tukagich mjunior mtukutu huh

[02:37.34] Mr. Pugupum pu! Huh huh, pungulu pum, huh huh

[02:41.33] Even her son, anajua Lulu ndio mama Tuu

[02:43.98] Ukisaidia adui zangu

[02:45.59] Ntakushow straight toka kwangu, Ah

[02:48.49] Duke of Eastlands, babangu ni wa Bangu

[02:50.35] Ukiskia funununu, sufuria fungua kifunuo

[02:53.83] Ukiskia mumu Munga ah, wuzu wuzu!

[02:57.28] Walidai kuvibe, before sijafika, ukinihug motion ni moja

[03:01.02] Huh mabare utapigwa, Zinedine Zidane

[03:03.68] Ni mambichwa Gu Gu Gu Gu Gu !!