Nimesafiri
[00:24.33] Nimesafiri toka Ukireni kuhudhuria pasaka Yerusalemi
[00:30.83] Kakutana na umati
[00:33.57] Hasira yao ilikua kali
[00:36.82] Kwa mshangao nasogea
[00:40.59] Mtu amebeba msalaba
[00:43.82] Aliyenaishara iliyosoma
[00:47.57] Yesu wa Nazareti
[00:51.07] Mfalme wa Wayahudi
[00:54.32] Nimesafiri toka Ukireni kuhudhuria pasaka Yerusalemi
[01:00.10] Kakutana na umati
[01:02.58] Hasira yao ilikua kali
[01:05.58] Kwa mshangao nasogea
[01:09.33] Mtu amebeba msalaba
[01:12.57] Aliyenaishara iliyosoma
[01:16.61] Yesu wa Nazareti
[01:19.58] Mfalme wa Wayahudi
[01:23.09] Amevishwa taji ya miiba
[01:26.10] Amelemewa na msalaba
[01:29.32] Anajishusha chini ya boriti
[01:33.83] Nakuanguka mbele yangu
[01:37.34] Amevishwa taji ya miiba
[01:40.58] Amelemewa na msalaba
[01:43.83] Anajishusha chini ya boriti
[01:48.09] Nakuanguka mbele yangu
[01:51.84] Wanajeshi wakirumii
[01:55.08] wananikamataa
[01:58.09] Nakunitwika msalaba wa Yesu
[02:01.33] Wengi wana kejeli
[02:04.33] Baadhi wanampigaa
[02:07.58] Baadhi wapiga kelele
[02:11.08] Baadhi wamtemea mate
[02:14.33] Na pale nilikuwepo
[02:17.36] Wanajeshi wakirumii
[02:20.61] wananikamataa
[02:23.84] Nakunitwika msalaba wa Yesu
[02:27.09] Wengi wana kejeli
[02:30.34] Baadhi wanampigaa
[02:33.34] Baadhi wapiga kelele
[02:36.59] Baadhi wamtemea mate
[02:39.86] Na pale nilikuwepo
[03:08.34] Najitahidi juu ya kilima
[03:11.59] Namtazama aliyekando yangu
[03:14.60] Uso wake mtulivu
[03:17.35] Sioni hasira wala huzuni
[03:19.86] Anitazama kwa shukrani
[03:24.11] Huruma na upendo
[03:27.10] Najiuliza kama hakika
[03:30.61] Huyu mtu Yesu
[03:33.60] Alikua na hatia
[03:37.10] Najitahidi juu ya kilima
[03:40.10] Namtazama aliyekando yangu
[03:43.35] Uso wake mtulivu
[03:45.88] Sioni hasira wala huzuni
[03:48.61] Anitazama kwa shukrani
[03:52.63] Huruma na upendo
[03:55.36] Najiuliza kama hakika
[03:59.64] Huyu mtu Yesu
[04:02.87] Alikua na hatia
[04:06.37] Tunapofika Goligotha
[04:09.61] Majeshi waniamuruu
[04:12.61] Niutue msalaba
[04:17.36] Kisha niondoke
[04:20.86] Tunapofika Goligotha
[04:23.86] Majeshi waniamuruu
[04:27.11] Niutue msalaba
[04:31.42] Kisha niondoke
[04:35.11] Nautua msalabaa
[04:38.36] Natazama kwa umbalii
[04:41.38] Misumari ile mibayaa
[04:44.61] Mwili mbovu wa Yesu
[04:47.62] Waninginia msalabani
[04:51.11] Damu yatiririka
[04:54.12] Matukio yote Kalwarii
[04:57.37] Nilioshuhudia
[05:00.64] Nautua msalabaa
[05:03.62] Natazama kwa umbalii
[05:06.89] Misumari ile mibayaa
[05:10.13] Mwili mbovu wa Yesu
[05:13.37] Waninginia msalabani
[05:16.66] Damu yatiririka
[05:19.86] Matukio yote Kalwarii
[05:23.12] Nilioshuhudia
[05:51.15] Niliuneba msalaba wa Yesu
[05:56.14] Na hakuna chochote zaidi
[05:59.64] (Jina langu)
[06:01.37] Jina langu halijasikiwa tena
[06:06.12] Wala sikuheshimiwa na historia
[06:09.90] (Hata hivyo)
[06:11.17] Wakati kazi zetu zimeisha
[06:15.88] Na jua la mashariki lachomoza
[06:20.38] Naapa moyo wangu
[06:23.88] Utaumbwa kwa unyenyekevu
[06:28.63] Mbona rekodi yangu iseme
[06:32.38] Huyu ndiye
[06:33.63] Alibeba
[06:35.13] Msalaba wa Yesu
[06:39.89] Niliuneba msalaba wa Yesu
[06:44.63] Na hakuna chochote zaidi
[06:47.88] (Jina langu)
[06:49.39] Jina langu halijasikiwa tena
[06:54.13] Wala sikuheshimiwa na historia
[06:58.20] (Hata hivyo)
[06:59.14] Wakati kazi zetu zimeisha
[07:03.64] Na jua la mashariki lachomoza
[07:08.39] Naapa moyo wangu
[07:11.89] Utaumbwa kwa unyenyekevu
[07:16.38] Mbona rekodi yangu iseme
[07:19.89] Huyu ndiye
[07:21.64] Alibeba
[07:23.39] Msalaba wa Yesu
[07:26.89] (Mimi)
[07:28.15] Niliuneba msalaba wa Yesu
[07:32.89] Na hakuna chochote zaidi
[07:36.39] (Jina langu)
[07:37.64] Jina langu halijasikiwa tena
[07:42.15] Wala sikuheshimiwa na historia
[07:46.14] (Hata hivyo)
[07:47.40] Wakati kazi zetu zimeisha
[07:51.65] Na jua la mashariki lachomoza
[07:56.68] Naapa moyo wangu
[08:00.14] Utaumbwa kwa unyenyekevu
[08:04.64] Mbona rekodi yangu iseme
[08:07.90] Huyu ndiye
[08:09.39] Alibeba
[08:11.17] Msalaba wa Yesu
