Dance
[00:01.67] Chui
[00:04.41] Oooh
[00:06.44] Jay-ii once again
[00:10.08] Ooh my baby dance dance like that
[00:13.33] Baby dance dance like that
[00:15.84] Ooh my baby dance dance like that
[00:18.58] Dance like that
[00:21.57] Umeniteka oh my my my
[00:24.33] Ukiondoka nitadie die die die
[00:27.08] Napenda kitumbua chai chai chai chai
[00:30.07] Nimekupa mbawa fly fly fly
[00:32.82] Urembo wako oooh..
[00:35.82] Nikikuona inadunda roho
[00:38.33] Tabasamu lako oooh..
[00:41.33] Sijiwezi umenikaba koo
[00:44.07] What can I do... ,without you..., baby boo uuh! uuuh!
[00:49.33] Ni wewe tu..., barafu... ,beautiful uuuh...
[00:55.07] eeeh
[00:58.07] Nampenda huyu
[01:00.34] Ataniua huyu
[01:03.59] Kiboko yangu roho yangu huyu
[01:04.82] Tamu yangu huyu
[01:09.33] Nampenda huyu
[01:12.08] Ataniua huyu
[01:14.82] Kiboko yangu roho yangu huyu
[01:17.83] Tamu yangu huyu
[01:18.82] Baby dance dance like that
[01:21.61] Baby dance dance like that
[01:23.59] Ooh my baby dance dance like that
[01:25.57] Dance... like that
[01:26.83] Ooh my baby dance dance like that
[01:32.32] Baby dancе dance like that
[01:35.11] Ooh my baby dance dancе like that
[01:37.84] Dance... like that
[01:41.10] Nipe...
[01:42.60] Baby
[01:43.83] Mapenzi ya Tanga huko kunani
[01:46.57] Are you...
[01:48.07] Ready
[01:49.58] Niko na mbawa tupae angani
[01:52.08] Ati moyo wangu
[01:53.82] Mimi
[01:55.07] Umekumbwa na kitu gani
[01:56.33] Yaani
[01:59.08] Siwezi
[02:00.82] Bila ya wewe maishani
[02:03.08] Hizi hisia...
[02:05.84] Kama utamu sukari guru
[02:08.82] Nishakuwa sijiwezi
[02:11.57] Acha tu nipige nduru
[02:14.58] Hizi hisia...
[02:17.36] Kama tamu utamu sukari guru
[02:20.10] Oooh penzi juu ya mapenzi
[02:22.85] Yanawaka kama nuru
[02:25.82] Baby ooohh
[02:28.32] Nampenda huyu
[02:31.08] Ataniua huyu
[02:33.57] Kiboko yangu
[02:35.59] Roho yangu huyu tamu yangu huyu
[02:39.57] Nampenda huyu
[02:42.36] Ataniua huyu
[02:45.08] Kiboko yangu
[02:46.57] Roho yangu huyu tamu yangu huyu
[02:49.09] Baby dance dance like that
[02:51.32] Baby dance dance like that
[02:54.07] Ooh my baby dance dance like that
[02:57.09] Dance like that
[02:59.60] Ooh my baby dance dance like that
[03:02.60] Baby dance dance like that
[03:05.32] Ooh my baby dance dance like that
[03:08.08] Dance like that
[03:11.32] Oooh aaah aaaa a a
[03:19.35] Oooh haah ooo
[03:22.61] Simuachi
[03:25.60] Sitaki
[03:28.08] Utamu wa mapenzi
[03:31.08] Ntaupata wapi? Oooh
[03:34.32] Simuachi
[03:36.82] Sitaki
[03:39.59] Kwa utamu wa mapenzi
[03:42.64] Niende wapi?
