Wach wach
[00:01.00] Yeah
[00:04.74] Uh
[00:06.76] Yeah, yeah
[00:07.51] Wach wach
[00:11.51] Wach wach
[00:12.74] Yeah
[00:13.75] Mi ni senior nafaa kuwa deputy
[00:15.50] Pedi wako anajua nina pedigree
[00:17.01] Infact unafaa kuwa unasimama niketi
[00:18.49] Hii gava itasanya hata mamatha vibeti
[00:20.25] Mwizi atakuibia walenje ukidedi
[00:22.00] Mwizi anapunguza jam akidedi
[00:24.00] Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi
[00:25.74] Kua ma-career ni pang'ang'a na deni
[00:27.49] Hakuna mtu anasema ukweli
[00:29.00] Watu wanalipwa mapeni
[00:30.75] Nikiwa mavela naona Makaveli
[00:32.26] Hii ni msomo free ka People Daily
[00:34.00] Umeng'aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore
[00:36.50] Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria
[00:38.24] Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa
[00:40.76] Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form
[00:43.00] Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature
[00:46.25] Msinitry mi najijua
[00:47.75] Risasi haisimamishwagi na kifua
[00:49.49] Kisasi hailipishwagi na ratili
[00:51.25] Na kama customer flani anasumbua
[00:53.00] Mi najijua
[00:54.75] Nimeconfirm (nimeconfirm)
[00:56.23] Mi najijua (mi najijua)
[00:57.51] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[00:59.49] Mi nachafua (mi nachafua)
[01:01.25] Zao ziko down (zao ziko down)
[01:03.00] Si tuko tu up (si tuko tu up)
[01:04.75] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[01:06.49] Mi nachafua (mi nachafua)
[01:08.00] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:10.00] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:12.49] Wach wach ndo vile naskia
[01:13.75] Wach wach ndo vile naskia
[01:16.74] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:17.50] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:18.98] Wach wach ndo vile naskia
[01:20.49] Wach wach ndo vile naskia
[01:22.49] Okay you see, only what they let you see
[01:25.75] Na hii ni advice si matusi
[01:27.48] Don't fu- up juu ya ganji
[01:29.24] Don't act like you're so holy
[01:30.74] Judgement yako haikuponyi
[01:32.98] Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni
[01:35.75] Mi na-slaughter microphoni
[01:37.49] Go missing, hamnioni
[01:39.49] Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni
[01:42.24] Been polishing skills za mine
[01:44.24] Ni astonishing ka milioni
[01:45.99] Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me
[01:49.48] Yeah, mauraru hatatuja tuna
[01:51.49] Ngata gari yangu inakunywa
[01:53.48] Defence na attack, najichunga
[01:55.24] Guranteed leo baki na kuma
[01:56.98] Ka Mr. Tuna, ah sina tumor
[01:58.99] Plus huna kiuno hadi najiuma
[02:00.24] Umetisha and I'm sure you know
[02:02.48] We itisha mpaka wa-jam
[02:04.23] Na hii beat ni ya my nigga Sam
[02:05.98] Ear drums zako zinakubali
[02:07.73] Pia roho yako inakubali
[02:09.73] Hii flow ina uhodari flani
[02:11.48] Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari
[02:13.49] Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen
[02:14.73] Mi najijua
[02:16.00] Nimeconfirm (nimeconfirm)
[02:18.48] Mi najijua (mi najijua)
[02:20.24] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:21.24] Mi nachafua (mi nachafua)
[02:22.99] Zao ziko down
[02:24.74] Si tuko tu up (si tuko tu up)
[02:26.49] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:28.74] Mi nachafua (mi nachafua)
[02:30.24] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:32.00] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:33.73] Wach wach ndo vile naskia
[02:35.49] Wach wach ndo vile naskia
[02:37.22] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:38.73] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:40.47] Wach wach ndo vile naskia
[02:42.23] Wach wach ndo vile naskia
[02:44.49] Nimeconfirm
[02:46.98] Mi najijua (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:48.99] Mi nachafua
[02:52.21] Zao ziko down
[02:54.00] Si tuko tu up (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:55.22] Mi nachafua
[02:58.72] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
[03:02.23] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
