Lrc Player

Finyo

Nyashinski
[03:41.66]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:01.10] Hodi kwa mama wa mtoto mkorofi

[00:03.13] Acha nikuambie ka unataka kuona machozi

[00:04.85] Ya mtoto mchokozi

[00:06.86] Itabidi uongeze pilipili kwa biriani, otherwise

[00:09.61] Ka si hivyo wanachama hatuliangi, hatutuliangi

[00:12.86] Na ndukulu ni bangi

[00:14.35] Na ina harufu mbaya

[00:16.60] Inaudhi majirani

[00:18.10] Lakini haidhuru ni sawa

[00:19.10] Acha wahamie kwa mashininani

[00:20.09] Ka ina wadhuru vibaya

[00:21.85] Zina tu-bustia ka bombom kwa corner

[00:24.60] Mi nina squadi kwa chrome

[00:26.10] Na ma conmen na wakora

[00:27.35] Wana diploma za kufunguanisha Grogon na Corolla

[00:29.10] The boredom mnasorora

[00:31.10] Vile hamna talent so mmegeuza game Sodom na Gomorrah

[00:33.85] Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako

[00:36.59] Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako

[00:39.35] Ka unatafta ule anajua kupika kupika uji

[00:41.61] Sio kupiga picha uchi

[00:43.11] Unfollow nyako follow nyanyako

[00:44.60] Ukitaka nyama apa sawa chief

[00:47.10] Hii butchery tunaita usiwahi blunder

[00:48.84] Na beefs huwanga ready ka skangaa

[00:50.60] Bonga shit unatandikwa ka kitambaa

[00:53.60] Bedcover ama handkerchief

[00:56.35] If your God is money then you're poor to me

[00:57.84] I have a feeling you're not who you pretend to be on IG

[01:00.85] Kutoka nursery, I've been a winner

[01:05.09] Usinieke gasoline

[01:06.59] Na bado hamjazima moto niliwasha '03

[01:09.35] Nakam na (Finyo)

[01:10.34] Watu wabaki (Finyo)

[01:11.84] Ilikuwa tu (Finyo)

[01:13.10] So najiona (Finyo)

[01:14.84] Na tuna (Finyo)

[01:15.83] Bado tuna (Finyo sana)

[01:17.59] You ready for the world, is it ready for you?

[01:20.09] You waiting for your girl, is she waiting for you?

[01:23.09] Niliskia type yako hulike ma bachelors

[01:24.83] Sijui ka ni true

[01:26.09] IG ben yule carpenter

[01:27.59] I feel ka ni true, ah-ah-ah

[01:29.09] Ni reasoning sio umang'aa

[01:30.08] Ujinga ndio si hukataa

[01:31.34] Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaa

[01:32.84] Greatness ni kuamkia legacy sio chapaa

[01:36.34] Siwezi kuua juu ya thao kaa kwangu thao sio chapaa

[01:39.59] My apartment in Amsterdam

[01:40.85] Certified rastaman

[01:42.09] Aki sometime nahang

[01:43.85] I feel like I'm Saddam

[01:45.34] I feel like I'm the best

[01:46.59] Nikumake man impressed (Zii)

[01:47.83] Nikufake happiness (Zii)

[01:49.33] Mi ni merciless

[01:50.60] I'm ill, na nitawatesa until mkubali kesi

[01:53.83] Ka sitakuimpress na skill, nipambe freshi

[01:55.84] Ukidai tuingie commercial still, nakuanga Messi

[01:58.33] Prepare kuingia battlefield na mwanajeshi

[02:01.09] Hii ni ile inaitwa, one-shot-kill

[02:03.59] Nafeelingi fiti, nikiwamadanga ki action film

[02:06.58] Nabelieve hii mziki itanibuyia mansion still

[02:10.10] Ahh

[02:12.60] If your God is money then you're poor to me

[02:14.58] I have a feeling you're not who you pretend to be on IG

[02:17.34] Kutoka nursery, I've been a winner

[02:21.10] Usinieke gasoline

[02:22.59] Na bado hamjazima moto niliwasha '03

[02:25.83] Nakam na (Finyo)

[02:27.08] Watu wabaki (Finyo)

[02:27.85] Ilikuwa tu (Finyo)

[02:29.08] So najiona (Finyo)

[02:30.34] Na tuna (Finyo)

[02:31.83] Bado tuna (Finyo sana)

[02:33.60] Mwanaume aseme hii shamba siezi lima

[02:35.83] Nakam na plough mbili

[02:36.83] Hiyo ingine ni ya finyo pekee

[02:38.09] Niko na issue ikiwa juu yangu ka si kofia

[02:41.33] Kwa maissue za vitabu za historia

[02:43.83] Jina yangu, watoi wako wataisoma pia

[02:47.32] Ata ka utadedi ukisema hukuwahi kuniskia

[02:50.08] Nishakusikia kila year, ukilia utarun next year

[02:53.10] Si this year pia ilianza ukilia, walahi this year

[02:55.32] Next year nitaquit, niko high ju niko this year

[02:57.33] Sitakuwa high next year ka nitakuwa high next year

[03:00.84] Excuses

[03:02.34] Excuse me, please, sorry, thank you

[03:03.83] Mission impossible, kifo ni ngori jo

[03:07.07] Na isikupate ukitry too hard to be perfect

[03:09.59] Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet

[03:12.32] Smile ka bado hujapita budget

[03:15.34] Na ka umepita ficha shida chini ya carpet

[03:17.83] Inapiga, inapiga kushinda earthquake

[03:20.82] Inapiga, inapiga kushinda earthquake

[03:23.32] Watu tunarace na wao

[03:26.08] Wanashindwa kushusha handbrake

[03:27.08] Uhunye na Rao wamepiga handshake