Lrc Player

Bebi bebi

Nyashinski
[03:59.38]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:01.37] Only you babe

[00:02.63] You're my only one

[00:04.62] My only one

[00:06.12] Some say a fool never change

[00:07.87] His mind well maybe

[00:09.37] Baby am a fool for you

[00:11.38] Mapenzi kipofu ukipenda maovu

[00:13.88] Huoni ooh love is blind

[00:16.86] Never seemed so true

[00:18.37] When I'm broke natumianga bro

[00:21.89] Please call me akipiga naomba dooh

[00:25.12] Mbona kuna message inajitumanga send me money

[00:30.12] Tukate long story short yoyoo

[00:31.88] Vumilia na mimi

[00:34.11] Please don't leave me

[00:36.13] Don't let the money fool you

[00:37.63] Sponsors just wanna use you

[00:39.12] Namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee

[00:43.37] Ananishow ni biasharaa tuu

[00:46.61] Na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu

[00:49.62] Na mwezi ukiisha sina ujanja too

[00:52.36] Na renti ikibishwa huanga blunder wowoo...

[00:57.87] Bebi, bebi

[01:01.62] Kuwa nami wakati sina

[01:03.11] Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

[01:06.61] Na nikibarikiwa

[01:09.12] Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

[01:11.11] Bebi

[01:14.61] Kuwa nami wakati sina

[01:15.87] Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

[01:20.12] Na nikibarikiwa

[01:22.11] Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

[01:25.86] Only you babe

[01:26.87] Only you babe

[01:28.37] You're my only one

[01:29.62] My only one

[01:32.11] Girl I wanna, girl I wanna

[01:33.37] Girl I wanna take you to my mama

[01:35.88] Show her you're the one for me

[01:36.87] I'll never ever, never ever leave you believe Me when I say you will forever be my queen

[01:44.86] Yule nala naye kwa dhiki

[01:46.60] Ntala naye kwa faraja

[01:48.61] Ahadi yangu ndo hiyo

[01:51.12] Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa

[01:53.37] Wou vumilia na mimi

[01:59.61] Please don't leave me

[02:01.85] Don't let the money fool you

[02:03.13] Sponsors just wanna use you

[02:05.13] Mtoto wa mama usiharibike eeii yeah

[02:12.36] Bebi, bebi

[02:13.61] Kuwa nami wakati sina

[02:14.85] Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

[02:16.59] Na nikibarikiwa

[02:21.11] Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

[02:25.60] Bebi

[02:26.86] Kuwa nami wakati sina

[02:28.11] Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

[02:29.60] Na nikibarikiwa

[02:34.37] Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wewe wewe...

[02:37.36] Only you babe yeah yeah yeah yeah

[02:43.61] Mahali nimetoka na we we we we (only you babe)

[02:48.36] Yeah yeah yeah yeah

[02:50.35] My only one

[02:51.10] Okay sa naicheza kabubu

[02:52.11] Baby no more talk just do

[02:53.61] We mtamu kama buyu

[02:55.35] Zaidi ya kwa chini upo juu

[02:57.11] Forever be my only one

[02:58.85] Tukiachana itaniuma na

[03:00.60] Najua kuna nigga anangoja nichome

[03:02.10] Aruke ndani ka supersub

[03:03.36] Usiache ihappen

[03:05.60] Ishikilie ka siri

[03:07.10] Nikimake it in life then

[03:09.35] Nikushikilie pia mimi

[03:10.59] You make me, ooh babe don't let me go

[03:12.85] Stay beside me

[03:15.60] You make me complete, how will ma heart beat

[03:20.09] Without you?

[03:22.10] Bebi, bebi

[03:25.36] Kuwa nami wakati sina

[03:26.84] Leo sina kitu,

[03:28.60] Kesho ntafanikiwa, mmm...

[03:31.85] Na nikibarikiwa

[03:33.59] Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

[03:35.85] Bebi

[03:38.34] Kuwa nami wakati sina

[03:40.60] Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...

[03:42.35] Na nikibarikiwa

[03:47.59] Ahadi yangu ni sitasahau

[03:49.09] mahali nimetoka na wewewewe...