Wasi wasi
[00:01.18] Iyeeee eeh
[00:03.96] Mmm yeeee eeh
[00:07.42] Mmmmmmh
[00:09.66] Mmh
[00:12.41] Upepo mwanana
[00:15.41] Nawe upo kifuani mwangu
[00:18.72] Jua likizama
[00:23.41] Mikono salama
[00:27.16] Karibu kwenye moyo wangu
[00:30.42] Mi baba uwe mama
[00:33.41] Aaaahhhh!!! Zima taa washa mishumaa
[00:38.17] Nilishe kama na njaa
[00:40.67] Haaa!! Haaaaaaa!!! Haaaa!!!
[00:45.93] Kila dakika kila masaa
[00:49.22] Palilia penzi litasinyaa
[00:52.16] Haaa!! Haaaaaaa!!! Haaaa!!!
[00:58.16] Sura yako macho yako
[01:01.41] Upole wa mama yako, we chaguo langu
[01:07.44] Mamaaaa ahh!
[01:10.18] Taswira yangu picha yako
[01:13.46] Moyo wangu mali yako we chaguo langu
[01:19.16] Mamaaaa ahh!
[01:22.91] Wasiwasi
[01:24.49] Mwenzako sina maana niko na wewe (Wasiwasi)
[01:30.15] Tunza heshima niwe nawe milele (wasiwasi)
[01:35.91] Eeeh uko na miiiiiimi usiwe na (wasiwasi)
[01:41.92] Uniamiiiini usiwe na wasiwaa
[01:56.67] Ntakuganda ruba, pua na lesso tufatane
[02:02.68] Mahabuba, tuwe mapacha tufanane
[02:08.41] Wenye husuda, wakiroga tutengane
[02:14.42] Ongeza rutuba, nije na pete tuoane
[02:20.18] Supu chuku chuku
[02:22.91] Miguu ya vikuku, aii, utauwa eehh
[02:29.91] (Utauwa eehh)
[02:32.16] Nahema nusu nusu
[02:34.92] Ukinibusubusu, aii maua ehhh
[02:41.92] (Maua ehhh)
[02:44.91] Sura yako macho yako
[02:48.16] Upole wa mama yako, we chaguo langu
[02:53.66] Mamaaaa aaahh!
[02:56.67] Taswira yangu picha yako
[02:59.91] Moyo wangu mali yako
[03:02.66] We chaguo langu
[03:05.92] Mamaaaa aaahh!
[03:09.70] Wasiwasi (eeh)
[03:11.66] Mwenzako sina maana niko na wewe (wasiwasi) eeeh
[03:16.91] Tunza heshima niwe nawe milele (wasiwasi) eeh
[03:22.98] Uko na miiimi usiwe na (wasiwasi)
[03:28.92] Uniamini usiwe na wasiwaa
