Lrc Player

Utu

Ali Kiba
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:12.15] Yooooo!

[00:17.46] (Yogo on beat)

[00:19.10] You're sweet like pipi mamaa

[00:22.04] I can fight

[00:23.36] I can kill someone

[00:26.04] For you

[00:28.44] Because am in danger zone (oh no)

[00:32.70] This feeling feeling that am feeling

[00:35.91] It's too much

[00:38.57] I see future, life with you is so brighter

[00:42.96] Nakupenda sana, you know that

[00:45.50] I'll die for you

[00:48.43] Ooh sweet heart, life with you is so sweeter

[00:52.98] Nakupenda sana, you know that

[00:55.64] Nakupenda sana, you know that

[00:57.76] Yeah

[00:58.57] Na hakuna kipya kwenye dunia

[01:01.26] Oh my love

[01:03.40] Na ndio maana tamaa nazizuia

[01:06.36] Oh my love

[01:08.21] Natupa maelfu kwa mamia

[01:11.14] In this world

[01:13.55] Ila we pekee nimekuchagua

[01:15.95] I swear to God

[01:17.83] Na umebarikiwa

[01:19.42] Utu na utulivu

[01:22.87] Umebarikiwa

[01:24.48] Utu na utulivu

[01:27.41] Licha ya upole na uzuri

[01:29.26] Una utu na utulivu

[01:32.49] Umebarikiwa

[01:34.39] Utu na utulivu

[01:38.10] Ohooo

[01:59.13] Siku zote maumivu maumivu

[02:00.98] Yapo kutufunza

[02:03.37] Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza

[02:08.42] Huko nyuma hukumu

[02:10.30] Hukumu zilisha nikumba

[02:13.21] Na mateso kung'ang'ania

[02:15.39] Pendo usipopendwa

[02:18.34] Niliforce kujificha kule kumbe

[02:21.01] Chaka langu ni hapa

[02:23.14] Sasa napewa amani

[02:25.53] Mapenzi yasiyo na mipaka

[02:28.74] Ananikanda huku mabegani

[02:30.90] Ananishika na hapa

[02:33.59] Masage mgongoni

[02:35.73] Yananilevya makopa

[02:38.39] Na hakuna kipya kwenye dunia

[02:41.09] Oh my love

[02:43.48] Na ndio maana tama nazizuia

[02:46.14] Oh my love

[02:48.26] Natupa maelfu kwa mamia

[02:51.18] In this world

[02:53.60] Ila we pekee nimekuchagua

[02:55.99] I swear to God

[02:57.62] Na umebarikiwa

[02:59.53] Utu na utulivu

[03:02.98] Umebarikiwa

[03:04.58] Utu na utulivu

[03:07.50] Licha ya upole na uzuri

[03:09.37] Una utu na utulivu

[03:12.54] Umebarikiwa

[03:14.17] Utu na utulivu

[03:17.60] Oooh

[03:39.42] Aaaah

[03:40.75] Namuona yeye

[03:42.66] (Analia ninapougua)

[03:44.52] Aaaah

[03:46.11] Namuona yeye

[03:47.72] (Akikesha ananiombea dua)

[03:49.05] Aaaah

[03:51.45] Namuona yeye

[03:52.78] (Analia ninapougua)

[03:53.88] Aaaah

[03:56.02] Namuona yeye

[03:57.88] (Akikesha ananiombea dua)