Binti Kiziwi
[00:14.72] Nimpate vipi mi sijui
[00:17.38] Nina imani mapenzi hayajui
[00:20.84] Nitapata ugonjwa wa moyo
[00:22.69] Kwa sababu ya mawazo
[00:25.07] Ninavyo jua maisha yake
[00:27.21] Hajawahi kuwa na boyfriend
[00:30.39] Ila ni mimi wa kwanza
[00:33.32] Na ninashindwa kumpata
[00:35.18] Kwa ishara naonekana nampenda
[00:37.57] Yeye eti mi namzingua
[00:40.23] Eti kama angilikua anasikia
[00:42.88] Basi ukweli wangu angeujua
[00:45.53] Kwa ishara naoneka nampenda
[00:47.94] Yeye eti mi namzingua
[00:50.58] Eti kama angelikua anasikia
[00:52.71] Basi ukweli wangu angeujua
[00:55.63] Ningemzowea rafiki yake
[00:58.03] Basi mi ningemtuma
[01:00.42] Ningezitambua ishara zake
[01:04.13] Kwake mi ningefika
[01:08.64] Ningemzowea rafiki yake
[01:09.70] Basi ningemtuma
[01:11.57] Ningezitambua ishara zake
[01:13.43] Kwake mi ningefika
[01:16.62] Sicilia ninampenda
[01:17.95] (Binti kiziwi)
[01:18.74] Moyo wangu wamtaka
[01:20.06] (Binti kiziwi)
[01:21.65] Sicilia nateseka juu yake
[01:24.31] (Yeye binti Kiziwi)
[01:26.70] Sicilia ninampenda
[01:28.04] (Binti kiziwi)
[01:29.09] Moyo wangu wamtaka
[01:30.42] (Binti kiziwi)
[01:32.03] Kichwa kinauma mawazo
[01:34.67] (Kwake binti kiziwi)
[01:36.54] Nashangaa pale napomkuta
[01:38.66] Akiwa na wenzake wanaongea
[01:42.65] Huwa najiuliza mimi
[01:44.77] Wanaongea naye vipi
[01:46.90] Nashangaa pale napomuita
[01:49.04] Nahisi huwa anakataa
[01:52.76] Sijui ndio hasikii
[01:54.08] Au mapozi au mapozi naye
[01:57.01] Afadhari angejua kusoma
[01:59.13] Hata hatari ujumbe ningempa
[02:02.31] Eti kama ningejua ishara
[02:04.19] Basi kwake ningefika mimi
[02:07.37] Afadhari angejua kusoma
[02:09.49] Hata bonge ujumbe ningempa
[02:12.42] Eti kama ningejua inshara
[02:14.27] Basi kwake ningefika baby
[02:17.72] Sicilia ninampenda
[02:18.79] (Binti kiziwi)
[02:20.11] Moyo wangu wamtaka
[02:21.44] (Binti kiziwi)
[02:23.04] Nateseka juu yake
[02:25.69] (Yeye binti Kiziwi)
[02:28.07] Sicilia ninampenda
[02:29.14] (Binti kiziwi)
[02:30.47] Moyo wangu wamtaka
[02:31.79] (Binti kiziwi)
[02:33.39] Kichwa kinauma mawazo
[02:36.06] (Kwake binti kiziwi)
[02:37.92] Binti kiziwi yuko full
[02:39.25] Yani yuko bomba
[02:40.30] Amenidatisha mnyamwezi na yake figa
[02:42.96] Tatizo moja tu ambalo mimi linanisibu
[02:45.35] Kila kukicha hata nikiwaza mi sipati jibu
[02:47.74] Nikimuambia neno i love you
[02:49.60] (Wala halijui)
[02:51.46] Nikimuambia neno i need you
[02:52.25] (Halitambui)
[02:53.32] Nikimuimbia nyimbo nzuri hata haisikii
[02:54.90] Pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi
[02:58.37] Nikimuambia neno i love you
[02:59.69] (Wala halijui)
[03:01.02] Nikimuambia neno i need you
[03:02.35] (Halitambui)
[03:03.42] Nikimuambia nyimbo nzuri hata hasikii
[03:08.19] Pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi
[03:11.38] Hata kusema neno i love you
[03:11.91] Kwake halijui
[03:13.51] Hata kusema neno i need you
[03:15.90] Kwake halitambui
[03:19.35] Hata kusema neno i love you
[03:21.47] Kwake halijui
[03:23.87] Hata kusema neno i need you
[03:26.26] Kwake halitambui
[03:29.43] Baby baby baby baby boo
[03:32.36] Baby i love you
[03:35.81] Ingawa nateseka tu naye
[03:37.94] Baby i need you
[03:42.99] Baby baby boo
[03:43.51] Baby i love you
[03:46.17] Baby tu baby i need you
[03:49.64] Sicilia ninampenda
[03:50.96] (Binti kiziwi)
[03:52.03] Moyo wangu wamtaka
[03:53.35] (Binti kiziwi)
[03:54.93] Sicilia nateseka juu yake
[03:57.59] (Yeye binti Kiziwi)
[03:59.99] Sicilia ninampenda
[04:01.31] (Binti kiziwi)
[04:02.38] Moyo wangu wamtaka
[04:03.45] (Binti kiziwi)
[04:05.04] Kichwa kinauma mawazo
[04:07.95] (Kwake binti kiziwi)
[04:10.34] Sicilia ninampenda
[04:11.41] (Binti kiziwi)
[04:12.48] Moyo wangu wamtaka
[04:13.80] (Binti kiziwi)
[04:15.13] Sicilia nateseka juu yake
[04:17.79] (Yeye binti Kiziwi)
[04:20.18] Sicilia ninampenda
[04:21.51] (Binti kiziwi)
[04:22.84] Moyo wangu wamtaka
[04:24.17] (Binti kiziwi)
[04:25.75] Kichwa kinauma mawazo
[04:28.41] (Kwake binti kiziwi
