Sing
[00:16.69] S2Kizzy Baby
[00:21.47] Moyo kwako umekaa-kaa-kaa oweoh
[00:26.52] Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
[00:31.30] We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
[00:36.87] Waniwezaga oweoh
[00:42.19] Usifanye njia kwamba umenipitia, utaniumiza dear
[00:47.23] Nami mwanadamu mwenye moyo na majonzi pia
[00:52.55] Si unasikia, kulialia ndo nnachokihofia
[00:57.06] Kama ushanigonga basi nionee huruma, usiongeze gear
[01:02.61] Oh nanana
[01:04.42] Uwepo wako mi mwenzako naenjoy
[01:07.61] Oh nana
[01:09.73] Yani kwako nyang'anyang'a nipo hoi
[01:12.92] Oh nanana
[01:14.52] Mi kwako sisemi, sikohoi
[01:17.97] Oh nanana
[01:20.36] Si unajua moyo
[01:22.49] Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh
[01:27.80] Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
[01:32.57] We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
[01:38.15] Waniwezaga
[01:39.98] Ah you dey make me sing
[01:42.90] Baby Ah
[01:43.94] Aaaah Aaaaaah
[01:47.62] Aaah
[01:48.95] Aaaah Aaaaaah
[01:52.93] Baby Ah
[01:54.26] Aaaah Aaaaaah
[01:59.30] Aaaah Aaaaah
[02:03.29] Baby you dey make me sing
[02:06.74] Aaaah Oohh Aaah
[02:12.59] Yani mpaka ladha zao za zamani nimesahau
[02:16.31] Mesahau
[02:18.43] Sura zao za zamani nasahau
[02:21.62] Nasahau
[02:23.74] Maana nikisikia kuhusu upendo
[02:25.87] Nakuwaza wewe tu mahabuba
[02:28.79] Na, nikitakaga upendo
[02:31.14] Nawaza lako tu, huba
[02:34.34] Na tukikwenda kwenye tendo
[02:35.89] Unanifikishaga mpaka Cuba
[02:39.31] Unakabaga uachi pengo
[02:41.66] Si unajua moyo
[02:44.32] Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh
[02:49.37] Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
[02:54.16] We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
[02:59.74] Waniwezaga
[03:02.13] Ah you dey make me sing
[03:04.48] Baby Ah
[03:05.50] Aaaah Aaaaaah
[03:09.48] Aaah
[03:11.08] Aaaah Aaaaaah
[03:14.80] Baby Ah
[03:16.08] Aaaah Aaaaaah
[03:20.86] Aaaah Aaaaah
[03:25.34] Ona naimba
[03:32.45] Baby you dey make me sing
