Diamond
[00:20.37] Jay once again
[00:23.51] Mmmh
[00:24.04] kuidhulumu nafsi sitaki,
[00:26.70] penzi la ukakasi sitaki
[00:29.35] Mi najua mna upendo wa dhati,
[00:31.75] Sa kwanini niingie kati
[00:34.67] Mioyo yenu ipeni nafasi,
[00:37.06] Muinywe kwa uhuru sharubati
[00:39.71] Penzi lisiwe la hisabati,
[00:42.64] Mpaka muushangaze umati yoooh
[00:46.35] Apendapo maulana basi na mm,
[00:51.67] Nipate wa kushibana
[00:54.86] Halafu nyinyi cheki mnavyopendana
[01:00.65] Si kwa matendo,
[01:02.47] Kwa ishara tunaona
[01:05.93] Aaah penzi lenu,
[01:07.75] liwe kisima cha upendo
[01:11.20] Ololoo maah liwe la shine like a diamond
[01:16.51] Wanga wakae mbali,
[01:18.64] Liwe kisima cha upendo
[01:21.82] Ololoo maah liwe la shine like a diamond
[01:26.61] Diamond
[01:39.09] Aaaaaah ooooh aaaah
[01:49.45] Mapenzi sio ya kulazimishana
[01:53.66] Wanaopendana kuwaachanisha ni laana
[01:58.97] Angalia macho yao
[02:01.63] Mazuri yanavyofanana
[02:04.24] Na watu wasiopendana
[02:06.59] Utawapata wakishindana
[02:09.25] Yapo kama maua, kuna muda yatachanua
[02:14.56] Mtashindwa kutambua, wapi linapiga jua
[02:19.61] Mapenzi kitumbua, mchanga msije tia
[02:25.18] Waacheni wamekua, sisi tuombe dua aaah
[02:31.29] Aaaaah
[02:33.12] Apendapo maulana basi na mimi
[02:38.43] Nipate wa kushibana
[02:41.88] Halafu nyinyi cheki mnavyopendana
[02:47.19] Si kwa matendo kwa ishara tunaona
[02:52.51] Aaah penzi lenu
[02:54.59] Liwe kisima cha upendo
[02:57.78] Ololoo maah liwe la shine like a diamond
[03:03.09] Wanga wakae mbali
[03:05.22] Liwe kisima cha upendo
[03:08.41] Ololoo maah liwe la shine like a diamond
[03:13.19] Diamond
[03:16.35] Diamond x3"
