Lrc Player

Sofa za moyo wangu

Mathias Walichupa
[04:15.53]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:03.68] Wouwo uwooo uwooo uwooo

[00:08.73] Wouwo uwooo uwooo uwooo

[00:13.77] Wouwo uwooo mmh

[00:19.62] Hizi ni sifa za moyo wangu

[00:24.93] Nazileta kwako we MUNGU

[00:30.51] Nakuomba ELOHIM

[00:35.55] We zipokee

[00:41.14] Hizi ni sifa za moyo wangu

[00:46.19] Nazileta kwako we MUNGU

[00:51.50] Nakuomba ELOHIM

[00:56.55] We zipokee

[01:02.09] Ulikonitoa BWANA wangu

[01:07.40] Ni mbali sana

[01:11.92] Ni mbali sana

[01:17.76] Sikudhaniwa

[01:22.25] Na ulinichagua mimi BWANA

[01:28.63] Na Udhaifu wangu

[01:34.44] Ulinipenda mimi iih

[01:38.96] Pasi na sababu uuh

[01:44.54] Sasa narudisha sifa BWANA

[01:49.85] Narudisha Sifa BWANA

[01:55.69] Na heshima aah

[02:00.22] Uzipokee

[02:05.22] Tena nanyenyekea kwako we

[02:11.38] Nanyenyekea kwako we

[02:16.96] YESU mwokozi

[02:21.74] Wa Maisha yangu (Ooh narudisha)

[02:28.08] Narudisha sifa BWANA

[02:32.07] Narudisha Sifa BWANA

[02:38.41] Na heshima

[02:43.19] Uzipokee

[02:48.21] Tena nanyenyekea kwako we

[02:54.60] Nanyenyekea kwako we

[02:59.64] YESU mwokozi

[03:04.37] Wa Maisha yangu

[03:07.50] Wamaisha yangu uu BWANA

[03:13.63] Wouwo uwooo uwooo

[03:18.41] Wouwo uwooo uwooo

[03:24.75] Halleluya Halleluya

[03:32.18] Kwa shangwe nazileta kwa shangwe

[03:38.82] Kwa shangwe nazileta kwa shangwe

[03:45.20] Sifa za moyo wangu Bwana zipokee