Lrc Player

Teamo

Godfrey Steven
[03:18.55]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:10.62] Uhuu uhuu

[00:17.00] Mmmh

[00:20.45] Fikra za Shetani siku zote huzania mimi ni wake

[00:26.29] Hajajua ninamilikiwa na muumba

[00:32.14] Hujaribu weka mitimiti misumari na miiba ichomayo

[00:38.24] Asante Mungu upande wangu daima

[00:43.49] Tena Bwana ana jina langu mikononi mwake

[00:49.33] Alafu hujidai nalo na malaika huko mbinguni

[00:54.11] Kwa madaha anajigamba enzini

[00:57.56] Ebu just come oneni

[01:01.24] Huyu ndo mwanangu nina imani naye

[01:05.49] Akaniambia

[01:07.03] Teamo mwanaaaa

[01:09.37] Aaaaah

[01:12.52] Nakupenda mwanaguuu

[01:15.94] Aaaaaah

[01:16.44] Oh nakupenda mwanaguu

[01:18.84] Teamo mwanaaaa

[01:21.75] Aaaaah

[01:24.15] Nakupenda mwanaguu

[01:28.40] Ooooh nakupenda mwananguu

[01:33.71] Nakupenda

[01:38.49] Iyee iyee iyee

[01:43.27] Ni kwel jana nimekosa

[01:46.72] Amenisamehe

[01:49.11] Sina haja jilaumu kwa makosa ya jana

[01:54.69] Ni kwel jana nimekosa

[01:57.35] Ila amenisamehe

[02:00.80] Sina haja jilaumu kwa makosa ya jana

[02:05.59] Tena bwana ana jina langu mikononi mwake

[02:11.16] Alafu anajidai nalo na Malaika huko mbinguni

[02:15.94] Kwa madaha Ajigamba enzini

[02:20.73] Just come mwoneni

[02:23.07] Huyu ndo mwanangu nina imani naye

[02:27.54] Akaniambia

[02:28.84] Teamo mwanaaaa ( teamo)

[02:31.76] Aaaaah (ooh)

[02:34.68] Nakupenda mwanangu

[02:37.87] Aaaaah

[02:38.61] Ooh Nakupenda mwanangu

[02:40.17] Teamo mwana ( teamo teamo mwangu eh)

[02:43.89] Aaah

[02:47.61] Nakupenda mwangu

[02:48.65] Aaah

[02:49.71] Ooh Nakupenda mwanangu

[02:54.23] Teamo

[02:57.15] Nakupenda aah

[02:59.81] Nakupenda

[03:02.73] Usijilahumu

[03:05.66] Kwa ya jayo

[03:07.72] Baba yako anakupenda